Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal will sell France striker Alexandre Lacazette, 29, to Atletico Madrid for £30m as soon as Gabon striker Pierre-Emerick Aubameyang, 31, agrees a new deal. (Star Sunday)
Dah sema tu nadhani ni hizi financial constraints zinaibana club ila kwa Laca binafsi naona ameadapt kwenye mfumo wa Arteta na hasa kwenye high pressing yupo vizuri sana, mfano game kama ile ya Liver pressing zake zilizaa makosa kwa beki za Liver tukapata magoli.

Pia huwa namuona akifunga from impossible angles na yuko very composed anapodrible kati kati ya defenders kitu kinacho tengeneza space kwa wachezaji wengine kuwapa chances za kufunga.
 
Yaan hata tukileta viungo 10

Watajichagua wakuungana na kucheza na Xhaka

Xhaka ndio backbone ya Arsenal eneo la MD ,

Ndio maana Arteta alipambana kwa nguvu zote akabaki

Takwimu zinaonesha Xhaka akiwepo uwezekano wa kupoteza mech ni mdogo sana

Xhaka alipotea baada ya kucheza double pivot na Matteo Gunduz
Xhaka sio tu katika uchezaji hata katika mapato ya klabu kupitia mauzo ya jezi ni among Aubameyang, Özil, Tierney, Lacazatte, Pepe na Bellerin.

Xhaka ndiye mchezaji anaovaliwa zaidi Uswissi na Albania.
 
Yaan hata tukileta viungo 10

Watajichagua wakuungana na kucheza na Xhaka

Xhaka ndio backbone ya Arsenal eneo la MD ,

Ndio maana Arteta alipambana kwa nguvu zote akabaki

Takwimu zinaonesha Xhaka akiwepo uwezekano wa kupoteza mech ni mdogo sana

Xhaka alipotea baada ya kucheza double pivot na Matteo Gunduz
Xhaka wakati anapangwa na Mathayo Gunduz alikuwa anateseka kuibalance midfield hadi unamuonea huruma, kila wakati yuko off position kwa ajili ya kuoffer cover kwa Gunduz ambaye akipanda ni mzito kurudi na anapoteza sana mipira kwenye 2/3 ground hivyo tunapigwa counter kila dakika.

Then mashabiki wanamponda Xhaka, unajisemea hawa watu hawaoni kama tatizo ni huyu Gunduz? Luiz, Sokartis na Mustafi pia iliwafanya waonekane wabovu sababu hapakuwa na defensive cover kabisa.
 
Hakika, na baada ya kuanza kucheza na Torreira alianza kuwa bora tena na Shkodrani makosa yalipungua.
 
Huyo ambae hajui na haoni umuhimu wa Xhaka kwenye timu yetu kwangu mimi namuona kama mamluki tu!

Inawezekana hata mpira wenyewe akawa haangalii.
Angejua huyo jamaa ndio backbone ya timu, waje wote wanaosajiriwa. Watajijua kupigania namba

Ila xhaka ana uhakika ,ndiye anayetengeneza mifumo yote ya Arteta ,ndiye natengeneza structure ipi tunataka kucheza

Kwenye 4-2-3-1

Alikuwa anacheza kama LCM ,halafu LB akipanda , Xhaka anamreplace anakuwa LB kivuli

Amekuja kwenye 3-4-3 bado Anafanya kazi kubwa

Tunaenda kwenye 4-3-3 msimu ujao

Xhaka uhakika ,

Hapo anatafutwa Partey ,coutinho tuwe na middle kama hii

Xhaka ceballos juu Coutinho

Au Xhaka Partey juu coutinho

Au xhaka ceballos Partey
 
Arsenal offer to pay off Mesut Ozil's £18m contract to free up funds for new recruits. [@MirrorFootball]

Arsenal will make a new push to reach an agreement over Mesut Ozil’s £18m contract nightmare.

They are ready to make an offer to pay him off and reach a deal or subsidise his £350,000-a-week wages if he moves to another club.
 
Willian’s farewell message to Chelsea fans
IMG_20200809_161602.jpg
 
Sijawahi kumuelewa Willian pia hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu. Heshima yake ndio inalindwa kwa mkataba wa miaka miwili na siyo kiwango chake.

Chukueni mzigo huo muone anavyojua kuumiza vichwa.
Ngoja tuchukue mzigo tukaongeze maumivu kila tukikutana na shemeji Chelsea!!

LONDON IS RED FOREVER AND EVER!!
 
The Willian contract could actually be a 2+1 deal. When we signed Luiz, everyone reported a 2 year-deal but it was actually a 1+1. Very different scenario if it actually is this way. We will find out soon enough.
 
Hivi kesho willian ndo anatangazwa ?
 
Gabriel has to make up his mind quickly

At the start of the week, France Bleu Nord revealed that Arsenal has concretely positioned itself on the file leading to the Brazilian defender and would be in a position to snatch the player's signature. The competition is very strong in this file since Manchester United, Everton, Napoli and a last club whose identity has not been given to us, are also interested. If the discussions revolved around € 22m at the start of the transfer window, increased competition has allowed the price to be raised to € 30m. The player is yet to give his final decision and, although he appreciates Arsenal's interest and the English club are his preference at the moment, he has not closed any doors. His decision is expected quickly.
 
Back
Top Bottom