Acha ujinga weweKutokana na uwezo mdogo wa kifedha wa timu hii bora mkachukue lingard, rojo na hata Phil Jones kutoka man utd watawafaa sana narudia watawafaa sana
Sasa bajeti yenyewe $50 umetajiwa wachezaji wanaoendana na bajeti yenuAcha ujinga wewe
Unadhan Arteta kilaza au unamchukulia poa sana enhee?
Nyie nyumbu si hamjui matumizi ya pesa, hivi ilikuwaje mpaka mkampa Sanchez pesa zote zile za mshahara halafu sasa hivi ndo mnaona mumtoe kwa nguvu..Sasa bajeti yenyewe $50 umetajiwa wachezaji wanaoendana na bajeti yenu
Hela ipo ili itumuwe wewe kama huna hela basi pole pambana na $50 yakoNyie nyumbu si hamjui matumizi ya pesa, hizi ilikuwaje mkampa Sanchez pesa zote zile za mshahara halafu sasa hivi ndo mnaona mumtoe kwa nguvu..
Hamna akili nyie nyumbu mtatapeliwa kila siku
Wewe huwezi kuelewa matumizi ya Arsenal yanaenda vipi.. ikitokea mchezaji ana thamani ya pesa ndefu kama anastahili klabu inatoa.Hela ipo ili itumuwe wewe kama huna hela basi pole pambana na $50 yako
Mkuu Zaha atacheza wapi wakati Willian anakujaAisee Wilfred Zaha kaachia video , ikisema ZAHA TO ARSENAL
Bodi imtimizie ndoto zake ,anapatikana kwa mkopo
Siku zote Zaha amekuwa akisema yeye ni Arsenal fan
Hauoni improvement ya defence tangia atueWewe huwezi kuelewa matumizi ya Arsenal yanaenda vipi.. ikitokea mchezaji ana thamani ya pesa ndefu kama anastahili klabu inatoa.
Si yule pale Auba tulitoa £65m na fresh tu.
Asa angalia nyie nyumbu mlivyokua akili hamna eti mmetoa £72m kwa Magwaya kama sio uchizi ni nini!
Nyie nyumbu si hamjui matumizi ya pesa, hivi ilikuwaje mpaka mkampa Sanchez pesa zote zile za mshahara halafu sasa hivi ndo mnaona mumtoe kwa nguvu..
Hamna akili nyie nyumbu mtatapeliwa kila siku
Beakitas wanamtaka nelsonMkuu Zaha atacheza wapi wakati Willian anakuja
labda namba ya Pepe,kitu ambacho ni ngumu sn
Kuondoka bure hawez ,ana mkataba wa miaka minne , na ana miaka 29 ndio maana analia kila siku, kabadilisha had wakalaPalace walishindwa kuchukua zile £40m zetu last year wakataka £80m,sasa hivi anauzwa £30m na inapoelekea anaondoka bure
Ni kesho nahisi hivo mkuu kwamaana signs nyingi tunatangazaga jtatu.Arteta is set to complete his first signing of the summer next week with Willian's arrival from Chelsea due to be announced imminently. He is also chasing Lille centre-back Gabriel Magalhaes, Partey and wants to extend Dani Ceballos' stay at the club. [Football London]
Sana Mkuu namkubali sana kwa upambanaji wake!!Daah!. Sema jamaa mpira umegoma tu, lakini jamaa ni fighter sana!