Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Gabriel’s shirt has been removed from the Lille online store
Via @roshanmohanty
Via @roshanmohanty
Arsenal tuliwaachia tu iyo ilipangwa
Kuanzia saa 11:45 utakuwa tayari ushajipa ban.Angalia leo tunaenda mnywa bayani goli za kutosha.
Amini Kwamba...
UEFA ni yetu
London is BLUE
#CFC![]()
😂😂😂😂😂😂😂Kuanzia saa 11:45 utakuwa tayari ushajipa ban.
Nae ni miongoni mwa ma moderator?Kuanzia saa 11:45 utakuwa tayari ushajipa ban.
Mkuu mbona kinyonge sanaSisi hatuendi kutegemea miujiza km huyo small mind Bayern speaker anavyo expect. Tunaenda kucheza mpira kama tunavyocheza na timu nyingine litakalotokea sawa tu na ndio matokeo ya mpira.
Pisi kali fupi kama nuktaHalafu Auba aache kuzingua bhana! Kuwafunga Chelsea tu kaamua kuchukua Kademu kafupi kama hichi
Lakini kwenye butts kamejazia! Nadhani ndiyo yanayompagawisha
View attachment 1530694
Hahaha mkuu hyo screenshot umeitunza mpk leo dah
Usije kukimbilia kuita ModsHii timu bhana haina hata hamshahamsha imepoa kama mate ya mgonjwa
Sinaga kawaida ya kuita hao mods mimiUsije kukimbilia kuita Mods
Bibimawe
Hii ipo milele mkuuHahaha mkuu hyo screenshot umeitunza mpk leo dah
Nimeipenda hiiBarca watahakikisha Coutinho anasepa , Maana Watadaiwa na Liverpool
Barca pay an additional €20m (£17.35m) when Coutinho makes 100 appearances for the club, plus €5m (£4.33m) if helps them claim the Champions League.
If Coutinho were to leave the Camp Nou this summer he would fall short of the latter two targets, meaning in this scenario, the Reds would stand to lose out on €25million (£21.7m).
Nitaumia sana NILES akiuzwa , jamaa amekuwa msaada sana ,ni bas hajaaminiwa. ,Mikel Arteta 'overruled by Arsenal board in disagreement over putting Maitland-Niles up for sale'
View attachment 1531609