Sawa ndugu, ndio tunachoombeaSijateseka mzee! Mkifanikiwa kukamilisha usajili wote huo, litakuwa jambo zuri.
Hii nimeipenda itaongeza ushindani kwa magolikipa wetuEmi Martinez says he wants to become the no1 keeper at Arsenal and if he doesn’t get the opportunity to play much he will look elsewhere to get game time
Nyie mlivyokomaa kumpa miaka miwili mlikuwa hamuogopi kuua vipaji vya kina Mount, Cheek, [emoji23][emoji23][emoji23]Hao wazee akina Willian na Continho wakija huko kwenu watawatibulia vipaji ambavyo tayari vimeshaanza kuonyesha nyota nzuri. Mtawapa mshahara mkubwa na lazima watapata muda mwingiwa kucheza na akina Saka na Martinelli na chipukizi wengineo habari yao kwishinei.
Anasema Legend wenu Charlie Nicholas
Kwani unateseka?Hizi singining zenu za makombo makombo vile itawafanya muwe wazuri kuwazidi akina Westham na Fulam na Newcastle. Take my word. Wakati bwana zenu sisi tunachukua vitu vipya nyie mnang'ang'ana na makombo
Vipi Giroud hamjaongeza mzigo huko? Kwanini unakomaa kwa Willian kuwa mzigo kutokana na umri wake?Silaumu ndugu nawapasha ukweli. Manure walifanya hivi hivi kuwachukua maveteran kama Old Lady wa Turin wakaishia kama walivyo, Sio kila mchezaji mzee mwenye jina atakuja kucheza vizuri huklo. Willian mpaka adapt Emirate mtaongeza mzigo mwingine kama wa Ozil
Mbona mulikomaa kumpa 2yrs?
Sisi pochi ipo ndugu, ukishindana na Tembo utapasuka msamba!Vipi Giroud hamjaongeza mzigo huko? Kwanini unakomaa kwa Willian kuwa mzigo kutokana na umri wake?
Hebu tuambie hii mizigo yenu ilikuwa ni mizee?
Bakayoko 50m
Drinkwater 28m
Morata 70m
Baba Rahman 25m
Kepa 72m
Sembuse huyo Willian ambaye ni free agent ndio awe mzigo?
Usajili wowote ni kamari mzee, kinachoonekana hapa ni moyo wako kuchomwachomwa na vitu vyenye ncha kali kila unaposikia Willian to ArsenalView attachment 1528496
Unaumia wewe[emoji23][emoji23][emoji23]Kilichopelekea Willian apewe mkataba wa miaka miwili ni experience yake kwa madogo lakini siyo kwamba ana cha maana cha ku offer kwa sasa. Sasa nashangaa mnavyofurahia kweli yan utafikiri mmemsajiri Mbappe au Sancho
Ungepumzika tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka tuanzishe mjadala meingine ambao hutaweza kuhandle kwa sababu unajua uhalisia.
Sawa acha kichapo cha Antony Tylor kiniwehushe.
Pochi la kubeba mizigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi pochi ipo ndugu, ukishindana na Tembo utapasuka msamba!
anatishia auEmi Martinez: "I showed that I can play, I need to play more games next season. I want to establish myself at Arsenal and become first choice. If I don't play, I'm going to move, I'm going to go where I play more." [@Continental590]
Sijawahi kumuelewa Willian pia hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu. Heshima yake ndio inalindwa kwa mkataba wa miaka miwili na siyo kiwango chake.Mbona mulikomaa kumpa 2yrs?
Mnateseka tu[emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unamudu stress za Arsenal yako mimi nishindwe kumudu maumivu ya Tylor?Ungepumzika tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maana maumivu dabodabo kuyamudu ni shughuli[emoji23][emoji23][emoji91]
Itoshe kusema kwamba wewe unaumia.Sijawahi kumuelewa Willian pia hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu. Heshima yake ndio inalindwa kwa mkataba wa miaka miwili na siyo kiwango chake.
Chukueni mzigo huo muone anavyojua kuumiza vichwa.
Uko sawa mkuuItoshe kusema kwamba wewe unaumia.