Mabasi yamefika? Na mimi nipo Mbeya nasubiri Jezi yangu
Mimi alinitumia jana kupitia Upendo bus
Ilifika usiku , jion hii ya leo nilipotoka ofisini nikanyosha terminal stend
Nimechukuwa.
Mabasi yamefika? Na mimi nipo Mbeya nasubiri Jezi yangu
Mabasi yamefika? Na mimi nipo Mbeya nasubiri Jezi yangu
(Arsenal)jezi original 60£ na weza pata?! [emoji3][emoji3]Asante kaka ,tupo pamoja
Unapata(Arsenal)jezi original 60£ na weza pata?! [emoji3][emoji3]
Klabu imesema itatolea ufafanuziHii timu ina umaskini wa level hii kumbe?
Wachezaji wamekasirika. Walikubali kukatwa mishahara ikiwa ni namna ya kuhakikisha hakuna atakayefukuzwa.
So mishahara imekatwa yet 55 people got fired. Na timu inamilikiwa na bilionea.
Inahuzunisha. Inakera na inauma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Industries revolution......Klabu imesema itatolea ufafanuzi
Huyu nilimtumia juz ,
Hii timu ina umaskini wa level hii kumbe?
Wachezaji wamekasirika. Walikubali kukatwa mishahara ikiwa ni namna ya kuhakikisha hakuna atakayefukuzwa.
So mishahara imekatwa yet 55 people got fired. Na timu inamilikiwa na bilionea.
Inahuzunisha. Inakera na inauma.
Huyu jamaa si angewapa wale waarabu wa newcastle wana shida na timu[emoji57]Usmanov alimwambie amuuzie hakakataa hawa jamaa wamarekani wanajidai wanaijua pesa.View attachment 1529255