Enlightenment
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 1,321
- 3,307
Inside dressing room
Kwa sasa tutapata hao big players baada ya kushinda jana na hata kwenda Europa league na Arteta ameonyesha ana vision na nini anakitaka ndo wachezaji wengi wanataka na Auba atasign mkataba permanent anytimeNdio August
Nimeona kuna taarifa Arteta anakutana na bodi jumanne au jumatano
Kuhusu kuna wachezaji wanaongeza mkataba pia kuhusu usajiri
Inabidi wafanye fasta tumpate Partey ,coutinho
Hiyo mech na Liverpool Angalau mmoja atimbe ndani tutest mitambo
Nasikia kombe la FA lina heshima sana Uingereza na pia lina pesa nyingi kuliko kombe la ligi, kuna ukweli wowote hapa?pamoja na kuchukua kombe, we have pocketed 3,600,000 pounds
Chama kubwaArsenal .........
Kwema kaka
Jezi zimekuwa adimu sana , zikija,oda inakuwa kubwa zinaisha fasta
Sasa niambie unavaa Size gani, ili zikija tu niweke pembeni
Na uniambie upo mkoa gani, kama Dar itakuwa fresh
Unamuona baba yangu?Huyu Auba anaweza asibaki na itatuuma ila kiukweli ni fair hata asipobaki he is too good kuishi katika Arsenal ya sasa. Tukileta ubahili tunampoteza live.
Martinez niseme nini?? Chelsea na Man U zinaweza zikamfuata huyu nyanda. Maana wana mashati ya hatari.
Ok now kila mtu anamsifu Auba na ile chip shot, which to be fair ni anastahili. Lakini mbona tunamsahau Bellerin? Tumkumbuke hata sekunde moja tu. Jamaa alitoka spid akadribble katikati ya jezi za bluu kabla jamaa mmoja kumrukia kwa kuslide (later on aliyeslide ndiyo akawa kaumia) mpira kwa Pepe, Pepe kwa Auba. Auba with a L1+Box
Cc. AaronOya mbona kimya humu hamna connection wakuu nashida sana na hii jezi
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nishawasiliana nae
Jamaa yangu huyu anaitwa IDDArsenal wana mbwembweView attachment 1524750
Sawa kakaMedium 1
Large 1
Please niwekee zikifika nishitue ili tuwasiliane mara moja kwa malipo, transport etc
Thanks in advance