Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii game tumestahili kushinda. Nilifikiri tutapark basi lakini hapana, na kutokana na Chelsea kucheza pia 3 4 3 nilitarajia watugee upinzani pale kati ila haikua hivyo, kila timu ilitawala kwa muda wake.

Auba alipata chansi kama ile akashuti mpira ukamgonga beki, akaipata second time the same chance safari hii hakupiga, akamfinya beki kisha akachop. Yaani kama ni game ni akabonyeza L1+Box ni bonge la goli.

Pepe leo kachangamka, hata goli lililokuwa offside lilionyesha leo kachangamka. The whole team was in high fighting spirit, Baku tulivyopigwa moja na tukapoteana mazima ila siyo leo, today we fought and it paid off.

Still Xhaka na Ceballos ni bora kuliko Torreira na Xhaka. Tierney tumelamba dume ila uCB hauwezi, Holding ni kama hajakuepo vile yaani humuoni akizurura unamuona akiwa anazuia tu and thats what CBs do. David Luiz performance was terrific.

Niles kafanya poa the team's performance was amazing. Martinez saved us as usual, Leno ajiangalie.

Pullisic ni mzuri, aliteleza mbele ya wachezaji wanne na kuscore na hii inachangiwa na namna Arsenal inavyokaba, haikabi aggressively like Liva or Man U does na ndiyo goli la leo.

We are doing fine. Now let's see huyo Joelson Fernandes tutamkamatia wapi.
While i essentially appreciate your analysis tunahitaji wachezaji wa maana hasa kutoa support kwa Auba kama atabaki anyway...na Beki imara come next season. Otherwise Arteta is a promising Manager so far.
 
Hii game tumestahili kushinda. Nilifikiri tutapark basi lakini hapana, na kutokana na Chelsea kucheza pia 3 4 3 nilitarajia watugee upinzani pale kati ila haikua hivyo, kila timu ilitawala kwa muda wake.

Auba alipata chansi kama ile akashuti mpira ukamgonga beki, akaipata second time the same chance safari hii hakupiga, akamfinya beki kisha akachop. Yaani kama ni game ni akabonyeza L1+Box ni bonge la goli.

Pepe leo kachangamka, hata goli lililokuwa offside lilionyesha leo kachangamka. The whole team was in high fighting spirit, Baku tulivyopigwa moja na tukapoteana mazima ila siyo leo, today we fought and it paid off.

Still Xhaka na Ceballos ni bora kuliko Torreira na Xhaka. Tierney tumelamba dume ila uCB hauwezi, Holding ni kama hajakuepo vile yaani humuoni akizurura unamuona akiwa anazuia tu and thats what CBs do. David Luiz performance was terrific.

Niles kafanya poa the team's performance was amazing. Martinez saved us as usual, Leno ajiangalie.

Pullisic ni mzuri, aliteleza mbele ya wachezaji wanne na kuscore na hii inachangiwa na namna Arsenal inavyokaba, haikabi aggressively like Liva or Man U does na ndiyo goli la leo.

We are doing fine. Now let's see huyo Joelson Fernandes tutamkamatia wapi.

Ujumbe umeondoka London jioni hii kwenda Ureno.

Wapo wachezaji wawili wanafuatiliwa Danillo nahodha wa Porto na huyu Fernandez.

Pili, Barcelona wanafikiria kugawana na Arsenal mshahara wa Philippe Coutinho ili aende kwa mkopo.

Na tatu ambayo ni ya jikoni kabisa ni kwamba Arsenal wamewafahamisha Watford kwamba wanataka kumsajili mchezaji wao wa kiungo Abdoulaye Doucoure.

Watford hawana ujanja itabidi safari hii wakubali kuzingatia wameshuka daraja.

Doucore ni bora zaidi kuliko Danilo au Patey kwani ana uzoefu wa ligi ya Uingereza.

Ngoja tuangalie mipango yaendaje.
 
Huyu kipa sioni haja ya kumtoa kwa kiwango chake kwa sasa.
Leno akipona asotee benchi tu kwanza huyu mwana ni ana qualities sana
Hahaha Leno atarud

Sema kawafikirisha makocha , sijui itakuwaje

Ameanza Arsenal kama kinda wa academy.

Amesota sana , kapata nafasi kaitumia
IMG_20200801_224055.jpg
 
Mwisho wa mwezi huu tuna kibarua cha ngao ya hisani na Liva. Unadhani watakubali kuchinjwa mara ya pili? Au Arsenal iharibu sherehe ya ubingwa?

Ni jingine la kulisubiri hili
Aaah hapa penyewe ni issue hamna vifua vya kupimana ubavu na KOP
Ynwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom