Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

hakuna cha Covid19 wala lockdown!
IMG_20200801_232116.jpg
IMG_20200801_232113.jpg
IMG_20200801_232109.jpg
 
Ndio August

Nimeona kuna taarifa Arteta anakutana na bodi jumanne au jumatano

Kuhusu kuna wachezaji wanaongeza mkataba pia kuhusu usajiri


Inabidi wafanye fasta tumpate Partey ,coutinho

Hiyo mech na Liverpool Angalau mmoja atimbe ndani tutest mitambo
Mzee ile Arsenal ambayo ukisikia inacheza na Chelsea au Tottenham unakua na uhakika na ushindi inarudi. It will be slow ila inarudi.
 
1 season, 10 assists, 8 goals, 1 trophy. Goal vs United, assists vs Spurs, City and Chelsea. Two of those at Wembley. Onto 20/21.
IMG_20200802_015156.jpg
 
Mzee ile Arsenal ambayo ukisikia inacheza na Chelsea au Tottenham unakua na uhakika na ushindi inarudi. It will be slow ila inarudi.
Hizo zama zilishapita, shukuruni kwa ubingwa wa FA Cup, hata hivyo refa alikuwa man of the match.
 
Hizo zama zilishapita, shukuruni kwa ubingwa wa FA Cup, hata hivyo refa alikuwa man of the match.
Wewe umeangalia mechi au ulisimuliwa? Unaongea ushindi wa FA cup utafikiri ni jambo geni kwa Arsenal unajua ni FA ya ngapi kwa Arsenal hii?
 
Finali 21,vikombe 14.Jeshi jekundu la Arsenal limezidi kuendeleza historia ya kuwa timu pekee bingwa mara nyingi zaidi ya kombe la FA.Vijana wa Mikel Arteta wakiongozwa na kijana wa Afrika Aubameyang wameonesha makali.Kocha Arteta anaingia kwenye historia msimu wa 1 na Ubingwa.
IMG-20200802-WA0013.jpg
 
Hizo zama zilishapita, shukuruni kwa ubingwa wa FA Cup, hata hivyo refa alikuwa man of the match.
Hapana kaka

Kama ulifatilia vzr mech na man u vs Chelsea ,

Chelsea alicheza faulo 21 bila kupewa kadi

Lampard alimwambia Kovacik apige tackling sana kuharibu buildup

Sasa Jana walikuja na stail hiyo hiyo , yellow ya 1 ,ya 2 inaambatana na red

Pia lampard amewalalamikia wachezaji wake , wameshindwa kuzuia mipira kwa Auba , na aliwaambia

Ule upande una KT anapiga sana through balls

Pia Luiz wanapiga sana mipira mirefu kule, anasema aliwaambia kabisa wameshindwa kulifanyia kazi

Unamlaumu Refa kwa lipi , Second yellow card inaambatana na RED CARD ,
 
Back
Top Bottom