isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Özil hakuonekana 🌚
Wanaume umewaona leo shughuli yao.Awa watoto rojo rojo wana kazi kubwa ya kufanya ..kupambana na wanaume sio kazi ya kitoto
Vice versa.Mnaacha jukwaa lenu uku limechacha kazi kukimbizana na majukwaa ya wanaume uku mnapita na kanga moja imelowa
Angalieni siku ya huzuni yaja..
Arsenal 1 - 3 Chelsea
#CFC![]()
Naisi amejua tofauti ya wavulana na wanaume... Hongera sana the Gunners, 14 always forward!Wanaume umewaona leo shughuli yao
Usitutie presha mkuu Wacha
Akaondoka (Mchezaji)
Akarudi (Kocha)
Yupo uturuki toka janaĂ–zil hakuonekana![]()
2011: FA Youth Cup final vs ChelseaView attachment 1524276
View attachment 1524277
Goalkeeper Emiliano Martinez was overcome with emotion at the final whistle
and burst into tears on the pitch

@emimartinezz1