Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa mbwa leo watatutambua. Olachuga tafuta chaka ujifiche nakwambia. Nisikuone jukwaa hili. Leo mnakunywa 4. Utopolo wakubwa nyinyi.
 
Wanangu wa asenali pigeni spana hiyo mbwaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
2nd goal. Auba
1596305660057.gif
 
Ooho naonaa kama kawaida yenu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Arsenal mnaongoza kwa kubeba FA aiseee
 
We are championssss leo tumefanya jambo la maana tungefungwa yangekuwa maumivu we are championsssss kutokucheza mashindano ya ulaya ni maumivu makubwa pole sana kwa wolves
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom