Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bukayo Saka, Arsenal’s new No.7!

Arsenal itampa Bukayo Saka jezi namba 7 kwa msimu ujao
IMG-20200723-WA0006.jpg
IMG_20200723_104116.jpg
 
Vijana wanakipa ambae hata KIKOSI CHA PILI CHIPOLOPOLO FC hapati namba na bado wamepigwa pesa ya maana dah maisha haypo fair kabisa
Hatari mzee, ukizingatia ndio kipa ghali kwenye ligi lakini kili ikilengwa imo
 
Arsenal ready to offer Pierre-Emerick Aubameyang new £250,000-a-week deal
 
@Castr naomba nichangie na Mimi kidogo

Toka amekuja Arteta , Eneo la beki limeimarika ,hasa sababu tumekuwa na mfumo unaoeleweka ,kilichobaki ni kukosa ile Quality ya mchezaji,

Mfano beki za pembeni Yule Kieran Tierny ,ni Quality player kuanzia commitment, n.k bado pia Saka ni backup nzuri huu upande

Upande wa kulia bellerin kashuka sana , sababu nadhan ni ile ACL , Cedric sio mbaya wanapeana challenge na belle ,

Mabeki wa kati ndipo panahitajika ongezeko ,

Mustafi amekuwa msaada toka aje Arteta ,hata holding ameimarika tena baada ya kutoka majeruhi ya ACL ambayo wachezaj wengi huwa hawarud kwenye viwango vyao vya awali.

Luiz ,kola,sokratis hawa ndio wamekuwa na matatizo ya kutoku concentrate na mchezo, mech na Spurz ,kosa la Kola ndio limesababisha kufungwa ,

Ujio wa Saliba na ongezeko la beki mmoja litasaidia sana

Maana tutakuwa na Angalau Quality ya kutosha eneo la beki, huku luiz akitumika muda mchache

Nije eneo la kiungo , Xhaka ndio muhimili wa timu ,huyu piga ua tunauhitaji sana , ndiye atakayeungana na viungo wajao ,kina Partey ,n.k

Toreira aliharibiwa na Unai, alipokuja Arteta ,alihitaji kiungo wa kucheza na Xhaka awe na uwezo wa kupiga pass mbele ,sio wa kudefend zaidi

Ndio maana Ceballos akapata nafas zaid hata kabla Toreira hajaumia ,lakini unapohitaji mech za kukaba sana mwanzo mwisho ,toreira ndio kaz zake ,rejea mech ya Liverpool juzi,

Ceballos hana uzoefu sana, lakini ni aina ya kiungo mzuri sana , sema Arteta anamtumia sana chini ,juu anamuweka Xhaka,Ceballos anatumika kama DLP(Deep lying playmaker)

Awe anafanya clearance , kudefend na kupiga forward passes mbele ,na hii kaz kaiweza

Shida inakuja kwa aina ya soka la Xhaka , sio mnyumbulifu ,ndio maana tunamis ufund wa kina Nasri, carzola , Uncle Tommy,Hleb

Xhaka anajua kupiga Range pass tu,

Ndio sababu Bodi inamuhitaji Partey, Roca au Dominic

Kwahiyo shida kubwa eneo la kiungo hatuna ubunifu, ndio maana viungo wetu uchangiaji wao wa magoli ni mdogo sana


Arteta anajiandaa kutumia 4-3-3

Hapo tutapata uchangiaji mkubwa wa magoli kutoka viungo .
Umenene vyema mkuu.
 
Arsenal ‘will really give €45m’ to sign forward – Gunners ‘crazy’ about him, will offer five-year contract

Arsenal will really give €45m for Joelson” is the headline of one of A Bola’s stories today.

A Bola writes that Arsenal see huge potential in Joelson, and don’t want to miss the chance of signing a potential world class player, after missing out on Cristiano Ronaldo and Bruno Fernandes.

Triggering his release clause would be a way of avoiding the competition from the likes of Barcelona and Juventus.

It’s also claimed that the Gunners will offer Joelson a five-year contract, with the promise of giving him a place in the first team right away.

The teenager made his debut for Sporting this month, and only has 63 minutes played for the first team so far.

Capturar-32.jpg
 
Back
Top Bottom