Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Angalia hii kitu.

Nikiongea na mashabiki wenzangu hata wa timu pinzani tunakubaliana kua Henderson akiwepo Liva ikicheza ni ngumu Liva kufungwa.
Pia tunakubaliana kua Kante anastabilize timu pale kati kwa Chelsea na kusaidia timu ikae na mpira na hata ukipotea waurudishe kwa haraka.

Ila mimi nikisema Arsenal hatuna shida ya beki tatizo letu ni kiungo wote wanakataa. Kwamba mnadhani Arsenal ina kiungo cha hatari kwa timu pinzani? In terms of attacking na defense?

Henderson akicheza timu ikiwa inashambuliwa jua kua yeye na Fabinho wanarudi kusapoti mabeki wanne. Yaani kwa kifupi ghafla kunakua na watu 6 wakikuzuia usiende kuscore. Wijnaldum ni attacker zaidi kuliko mlinzi.

Same kwa Chelsea na Kante na Jorginho wao.

Sisi tuna nani? Xhaka ambaye confidence imepungua. Guendouz, rafiki yake Relief Mirzska huyu hana stamina, speed na control na amekua na dharau siku hizi, Ceballos ni mzuri ila uzoefu hakuna, Torreira ambaye majeruhi humuandama na hana consistency.

Hua sielewi wanakua wanawaza nini wanaopinga.
 
Timu yetu ipo vizuri kwenye attacking tu,ila midfield na eneo lote la ulinzi ni majanga makubwa
 
Mkuu si unajua tena tangu Pof alipoondoka wengine tulichukia likizo lakini karibu itaisha. Tupo tunachungulia kwa chati. Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Jukwaa limekumiss hili mkuu,uwe unakuja japo kutia baraka zako kidogo..

Wewe ni LEGEND hapa
 
Arteta on the Kroenke's:

'I speak with them and I have a really really good and open relationship. That's why when you mentioned that [sending a message to the Kroenke's] I am surprised. Because I don't need to, I have the phonecall and speak to them. And they have been very very supportive from the first day that I joined the club. They were very much participating in the decision to bring me back here and the same with Vinai, Edu, there are no gaps or frictions there'
 
Mzigo mpya umeshaachiwa huko Australia ,

Bado UK hawajatangaza
IMG_20200717_200210.jpg
IMG_20200717_201524.jpg
 
Angalia hii kitu.

Nikiongea na mashabiki wenzangu hata wa timu pinzani tunakubaliana kua Henderson akiwepo Liva ikicheza ni ngumu Liva kufungwa.
Pia tunakubaliana kua Kante anastabilize timu pale kati kwa Chelsea na kusaidia timu ikae na mpira na hata ukipotea waurudishe kwa haraka.

Ila mimi nikisema Arsenal hatuna shida ya beki tatizo letu ni kiungo wote wanakataa. Kwamba mnadhani Arsenal ina kiungo cha hatari kwa timu pinzani? In terms of attacking na defense?

Henderson akicheza timu ikiwa inashambuliwa jua kua yeye na Fabinho wanarudi kusapoti mabeki wanne. Yaani kwa kifupi ghafla kunakua na watu 6 wakikuzuia usiende kuscore. Wijnaldum ni attacker zaidi kuliko mlinzi.

Same kwa Chelsea na Kante na Jorginho wao.

Sisi tuna nani? Xhaka ambaye confidence imepungua. Guendouz, rafiki yake Relief Mirzska huyu hana stamina, speed na control na amekua na dharau siku hizi, Ceballos ni mzuri ila uzoefu hakuna, Torreira ambaye majeruhi humuandama na hana consistency.

Hua sielewi wanakua wanawaza nini wanaopinga.
@Castr naomba nichangie na Mimi kidogo

Toka amekuja Arteta , Eneo la beki limeimarika ,hasa sababu tumekuwa na mfumo unaoeleweka ,kilichobaki ni kukosa ile Quality ya mchezaji,

Mfano beki za pembeni Yule Kieran Tierny ,ni Quality player kuanzia commitment, n.k bado pia Saka ni backup nzuri huu upande

Upande wa kulia bellerin kashuka sana , sababu nadhan ni ile ACL , Cedric sio mbaya wanapeana challenge na belle ,

Mabeki wa kati ndipo panahitajika ongezeko ,

Mustafi amekuwa msaada toka aje Arteta ,hata holding ameimarika tena baada ya kutoka majeruhi ya ACL ambayo wachezaj wengi huwa hawarud kwenye viwango vyao vya awali.

Luiz ,kola,sokratis hawa ndio wamekuwa na matatizo ya kutoku concentrate na mchezo, mech na Spurz ,kosa la Kola ndio limesababisha kufungwa ,

Ujio wa Saliba na ongezeko la beki mmoja litasaidia sana

Maana tutakuwa na Angalau Quality ya kutosha eneo la beki, huku luiz akitumika muda mchache

Nije eneo la kiungo , Xhaka ndio muhimili wa timu ,huyu piga ua tunauhitaji sana , ndiye atakayeungana na viungo wajao ,kina Partey ,n.k

Toreira aliharibiwa na Unai, alipokuja Arteta ,alihitaji kiungo wa kucheza na Xhaka awe na uwezo wa kupiga pass mbele ,sio wa kudefend zaidi

Ndio maana Ceballos akapata nafas zaid hata kabla Toreira hajaumia ,lakini unapohitaji mech za kukaba sana mwanzo mwisho ,toreira ndio kaz zake ,rejea mech ya Liverpool juzi,

Ceballos hana uzoefu sana, lakini ni aina ya kiungo mzuri sana , sema Arteta anamtumia sana chini ,juu anamuweka Xhaka,Ceballos anatumika kama DLP(Deep lying playmaker)

Awe anafanya clearance , kudefend na kupiga forward passes mbele ,na hii kaz kaiweza

Shida inakuja kwa aina ya soka la Xhaka , sio mnyumbulifu ,ndio maana tunamis ufund wa kina Nasri, carzola , Uncle Tommy,Hleb

Xhaka anajua kupiga Range pass tu,

Ndio sababu Bodi inamuhitaji Partey, Roca au Dominic

Kwahiyo shida kubwa eneo la kiungo hatuna ubunifu, ndio maana viungo wetu uchangiaji wao wa magoli ni mdogo sana

Arteta anajiandaa kutumia 4-3-3

Hapo tutapata uchangiaji mkubwa wa magoli kutoka viungo .
 
Official: EPL summer transfer window will start on July 27 and end on October 5

Official: EPL summer transfer window will start on July 27 and end on October 5.

[http://img]

Also domestic-only window will close at 17:00 on 16 October. "During this window, PL clubs will only be able to trade with EFL clubs (either loans or permanent registrations)." UEFA registration deadline for CL/EL is 6 Oct.

Wao wameanza sisi tunakuja kumaliza
 
@Castr naomba nichangie na Mimi kidogo

Toka amekuja Arteta , Eneo la beki limeimarika ,hasa sababu tumekuwa na mfumo unaoeleweka ,kilichobaki ni kukosa ile Quality ya mchezaji,

Mfano beki za pembeni Yule Kieran Tierny ,ni Quality player kuanzia commitment, n.k bado pia Saka ni backup nzuri huu upande

Upande wa kulia bellerin kashuka sana , sababu nadhan ni ile ACL , Cedric sio mbaya wanapeana challenge na belle ,

Mabeki wa kati ndipo panahitajika ongezeko ,

Mustafi amekuwa msaada toka aje Arteta ,hata holding ameimarika tena baada ya kutoka majeruhi ya ACL ambayo wachezaj wengi huwa hawarud kwenye viwango vyao vya awali.

Luiz ,kola,sokratis hawa ndio wamekuwa na matatizo ya kutoku concentrate na mchezo, mech na Spurz ,kosa la Kola ndio limesababisha kufungwa ,

Ujio wa Saliba na ongezeko la beki mmoja litasaidia sana

Maana tutakuwa na Angalau Quality ya kutosha eneo la beki, huku luiz akitumika muda mchache

Nije eneo la kiungo , Xhaka ndio muhimili wa timu ,huyu piga ua tunauhitaji sana , ndiye atakayeungana na viungo wajao ,kina Partey ,n.k

Toreira aliharibiwa na Unai, alipokuja Arteta ,alihitaji kiungo wa kucheza na Xhaka awe na uwezo wa kupiga pass mbele ,sio wa kudefend zaidi

Ndio maana Ceballos akapata nafas zaid hata kabla Toreira hajaumia ,lakini unapohitaji mech za kukaba sana mwanzo mwisho ,toreira ndio kaz zake ,rejea mech ya Liverpool juzi,

Ceballos hana uzoefu sana, lakini ni aina ya kiungo mzuri sana , sema Arteta anamtumia sana chini ,juu anamuweka Xhaka,Ceballos anatumika kama DLP(Deep lying playmaker)

Awe anafanya clearance , kudefend na kupiga forward passes mbele ,na hii kaz kaiweza

Shida inakuja kwa aina ya soka la Xhaka , sio mnyumbulifu ,ndio maana tunamis ufund wa kina Nasri, carzola , Uncle Tommy,Hleb

Xhaka anajua kupiga Range pass tu,

Ndio sababu Bodi inamuhitaji Partey, Roca au Dominic

Kwahiyo shida kubwa eneo la kiungo hatuna ubunifu, ndio maana viungo wetu uchangiaji wao wa magoli ni mdogo sana

Arteta anajiandaa kutumia 4-3-3

Hapo tutapata uchangiaji mkubwa wa magoli kutoka viungo .
Halafu umemsahau na Pablo Mari. Xhaka hakua akimuamini Torreira kumuachia dimba ili yeye aende mbele.

Hebu ona hapa. A quality Torreira acheze DMF wa kati, Xhaka acheze kama CMF wa kulia na Ceballos CMF wa kushoto. and tunaassume wote wapo katika form na wapo committed, utayaona makosa ya Sokratis au Luiz?

Huwezi kuona, Torreira ni destroyer hupiti bila kukuintercept, Xhaka ni anaweza kuhold vizuri mno, Ceballos ni playmaker na uwezo wa kukaa na mpira na kutembea nao. So katika mechi kumi makosa ya Luiz na Kola utayaona katika mechi mbili.

Ndiyo sababu mimi sijawahi kuamini kua tuna tatizo la beki.
 
Kwa beki ya Mustafi,Saed na Sokratic hatutoboi hawa ilibidi wauzwe, yule Kurzawa umefanyika uzembe ila angetufaa sana ni jeshi sana lile,

Kuna watu hawa tungewapata katika eneo la kiungo tungeimarika sana,

Thiago Alcantara
Coutinho
Partey
Sbozlai

Kuna wachezaji ambao ni simple sana kuwapata sokoni na wakakupa kile unachohitaji katika timu,sababu wana quality

Tolisso
Partey
Dominic
Alaba- huyu jamaa ni bonge la kiraka aiseeeh
 
Huwa sipendi sana kumjumuisha Dani kwasababu future yake haisomeki katika club
 
Mikel Arteta says the Club are in talks with Real Madrid over re-signing Dani Ceballos and he doesn’t want to lose both Lacazette & Aubameyang. #afc
 
Kwa beki ya Mustafi,Saed na Sokratic hatutoboi hawa ilibidi wauzwe, yule Kurzawa umefanyika uzembe ila angetufaa sana ni jeshi sana lile,

Kuna watu hawa tungewapata katika eneo la kiungo tungeimarika sana,

Thiago Alcantara
Coutinho
Partey
Sbozlai

Kuna wachezaji ambao ni simple sana kuwapata sokoni na wakakupa kile unachohitaji katika timu,sababu wana quality

Tolisso
Partey
Dominic
Alaba- huyu jamaa ni bonge la kiraka aiseeeh
Alaba anajiishia zake na majeruhi muache kwanza.

Anyway, kama sisi tunaona hivi inawezekana na wenye timu wanaona pia tusubiri na kuona watatuletea kipi.
 
Kwa beki ya Mustafi,Saed na Sokratic hatutoboi hawa ilibidi wauzwe, yule Kurzawa umefanyika uzembe ila angetufaa sana ni jeshi sana lile,

Kuna watu hawa tungewapata katika eneo la kiungo tungeimarika sana,

Thiago Alcantara
Coutinho
Partey
Sbozlai

Kuna wachezaji ambao ni simple sana kuwapata sokoni na wakakupa kile unachohitaji katika timu,sababu wana quality

Tolisso
Partey
Dominic
Alaba- huyu jamaa ni bonge la kiraka aiseeeh
Kwa jinsi hali ilivyo ,

Naona tutaleta viungo wawili, hadi sasa naona kwa Partey ni 70% anakuja

Ceballos kubaki ni 50/50

Matteo Guendouz atasepa ,

Arteta amekuwa anadai anahitaji Quality players ,

Nimeona sehemu ,Bodi inasubiri tumalize ligi kwanza , nimeona wamestopisha deal zote kwanza ,

Nimeona watamtumia Kia tumpate Willian na Coutinho

Kama tutampata Willian free na Coutinho loan

Pia tukamnunua Partey na kuongeza beki mmoja ambaye nasikia wanafanya nae mazungumzo ambaye ni Malang Sarr ,

Tukawabakiza Auba & laca , pia Na toreira

Maana Dani atasepa. ,basi tutakuwa na Quality asilimia kubwa

Hapo tuwaondoe Guendouz ,Sokratis ,pia nimesikia Niles anataka kusepa akapate muda wakucheza ,

Bellerin pia kuna tetes anaweza kuuzwa , hapo naona tunaweza kumrudisha Osei Tutu kama backup wasaidiane na Cedric .

Hapo tutakuwa na Angalau na timu ya ushindan ,ukijumlisha na mbinu za Arteta

Ila huyu Willock sijui ana mganga gani , huyu ni wakuuza au mkopo , ila wakija viungo hao hapo juu, itasaidia atafute timu kwa mkopo au asubirie carabao
 
Lille LOSC have received 5 offers for Gabriel the 22 years old CB & one of them is coming from #Arsenal . the Two other clubs mentioned are Everton & Napoli. Napoli are the favorites. The transfer fee will be between 22MEUR to 25MEUR with Bonus
 
Guardiola on Arteta's Arsenal:

"I have a feeling he is creating something unique and if he can be supported by the club in terms of investment, and get the players that they need, they'll be a contender for the next years."

[Text: BBC, Video: HaytersTV]

#AFC #MCFC #FACup https://t.co/0FZ7U7wxH6
 
Kwa jinsi hali ilivyo ,

Naona tutaleta viungo wawili, hadi sasa naona kwa Partey ni 70% anakuja

Ceballos kubaki ni 50/50

Matteo Guendouz atasepa ,

Arteta amekuwa anadai anahitaji Quality players ,

Nimeona sehemu ,Bodi inasubiri tumalize ligi kwanza , nimeona wamestopisha deal zote kwanza ,

Nimeona watamtumia Kia tumpate Willian na Coutinho

Kama tutampata Willian free na Coutinho loan

Pia tukamnunua Partey na kuongeza beki mmoja ambaye nasikia wanafanya nae mazungumzo ambaye ni Malang Sarr ,

Tukawabakiza Auba & laca , pia Na toreira

Maana Dani atasepa. ,basi tutakuwa na Quality asilimia kubwa

Hapo tuwaondoe Guendouz ,Sokratis ,pia nimesikia Niles anataka kusepa akapate muda wakucheza ,

Bellerin pia kuna tetes anaweza kuuzwa , hapo naona tunaweza kumrudisha Osei Tutu kama backup wasaidiane na Cedric .

Hapo tutakuwa na Angalau na timu ya ushindan ,ukijumlisha na mbinu za Arteta

Ila huyu Willock sijui ana mganga gani , huyu ni wakuuza au mkopo , ila wakija viungo hao hapo juu, itasaidia atafute timu kwa mkopo au asubirie carabao
Asilimia ulizonazo za Partey kuja ndiyo nilizonazo za yeye kutokuja. Mwanzo ripoti zilisema tumekubaliana kila kitu na mchezaji bado timu.

Juzi naona ripoti nyingine zinasema Partey hataki kuondoka. Wakati mwanzo kabisa tuliambiwa amesema anaitaka Arsenal. Kisha nikakutana na ripoti inasema Atletico wamefungua bid ya Partey kwa Arsenal.

Yaani ni miyeyusho miyeyusho tu.

Viungo watakuja ila kwa Partey sipo sure sana. Willian kaongeza mkataba Chelsea, sioni kwanini turisk kumsajili as hadi aje kua free agent na umri utakua umeenda, hapo atastahili kucheza New Castle ya matajiri wapya.
 
Inabidi kufatilia vyanzo vingi ,

Partey kuja Arsenal ni swala la muda tu, nadhani kuanzia wiki mbili zijazo utaelewa namaanisha nini , tena 70% ni ndogo

Hiyo habari kuwa anabak ATM ilitolewa na Ghanian news , hao jamaa ni waongo sana ,awali walisema ameongeza mkataba

Hiyo habari imekuja kukanushwa na Gazet la hapo hapo Madrid ,Partey amewekewa mkataba mezan na ATM toka mwaka Jana kagoma kuusaini

Arsenal wamemuoffer mshahara Mara tatu ya anaolipwa ATM, ukizingatia Partey by nature ni Arsenal fan .

Na inasemekana tucheze Europa tusicheze ,Anakuja .....

Willian bado hajaongeza mkataba Chelsea , umri umeenda lakini ni bado mchezaji mzuri kwa kutusaidia kwa msimu anagalau mmoja wakati kina martinel wanakuwa ,maana Atasaidiana na pepe ,Willian anacheza both wingers LW & RW .

Kuhusu Partey huyo ndio demand ya klabu. ,unaambiwa Arsenal imepunguza had mbio kwa Dominic Szobozlai ili kwanza impate Partey

Na show nzima ataisimamia Raul sanheil , watapeleka Ofa chini ya release clause kwanza .

Kwa sasa inasemekana mishemishe zote za Usajiri wamesimamisha ,had hapo mech ziishe wajue tutakuwa na michuano ya Europa au lah
 
Back
Top Bottom