Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Sisi wenyewe mkuu Watford huwa hatumpendi, kina Troy deeney huwa wanatupiga vijembe sana
Hao watoto waliona sifa kumvua taulo kaka yao, hawana heshima kabisa, acha wale jeuri yao.
Sisi wenyewe mkuu Watford huwa hatumpendi, kina Troy deeney huwa wanatupiga vijembe sana
Sawa, ila sio Watford ni Aston Villa,Haya poa.
Arsenal hatuna shot on target.
Man City walikua na on target 1 tu.
Mpira muda mwingi alikua nao Arsenal, usitishike tho, ilikua ni kuurudisha nyuma kuuleta pembeni kwa Cedric ambaye hakupiga hata cross moja yenye macho yet hakuacha kuendelea kupiga hizo cross na tukapoteza mpira unnecessarily.
Tulikua na watu 4 pale kati na wingers means watu 6 wangeweza kua pale. Ila mipira ilikua haikai, hatuna kiungo mwenye akili na ubunifu hatuna striker anayeweza kuamua kuibeba timu kwa kutembea na mpira na kushuti.
Tactic tuliyoitumia kwa City imetumiwa dhidi yetu. Beaten on our newfound game how about that? Na hatukua na cha kutunasua. Tulikua tunachekesha.
Juzi nilisema Lacazette siyo mzuri akiwa hana mpira as hawezi kukaba ila leo amekua hovyo hata alipokua na mpira.
Arteta alikuja gundua late kua kikosi alichokianzisha kina maandazi yapo mule mpaka anakuja kushtuka Asto walishaamua kuachana na 4 3 3 na kujipakia basi lao. Inanikumbusha Man U na Barca msimu uliopita Man U succesfully transformed 4 3 3 into 5 5.
Nataka nimuone mtu ambaye atasema Watford wameshinda kibahati. They deserved it, tulikua butu mno yaani hamna aliyeonekana anataka ushindi. Hata katika PS 3 au 4 mchezaji kama Nketiah huwezi kumuweka atokee pembeni as anakua na safari ndefu ili kuingia kati na hana pace, skills na nguvu so hua anaachwa kati kabisa.
Niliwahi sema Kolasinac na Tierney bora Tierney nikaambiwa mimi sijui kitu Kola anajitoa na ana nguvu, leo mtu kataka kuscore mbele yake tena mtu alivyomtoka mpaka nikashangaa.

....
Tatizo la mid table teams no consistencyView attachment 1513274

Nashukuru kwa kulitambua hilo mkuu, maana ulichezea mboko tatu tatu kutoka kwa sheffield na westham then ukaja kumpiga tatu manure na hi hiyo ndio consistency inayozungumziwa hapa... 

Absolutely.Salamu kutoka kwa Tanzania, asanteni.
Tunajua lengo lenu ni kumbakisha Aston Villa
PumbaSababu kubwa ya Arsenal kushindwa kufuzu Europa League kupitia EPL!!
Ndio maana tunasema Auba na Lacazette wanajuta sana kukubali kusajiliwa Arsenal
- Hawana squad ya kuwawezesha kufanya hivyo
- Mashabiki wao hawako na timu yao, mfano wengi wao humu jamii forums wamejinafsisha kwa Chelsea wengine Liverpool
- Management haina dira yeyote, wakati wa Wenga angalau walikuwa wanatoa chipukizi na kuwauza ili washike mshiko, sasa hivi hawana tena chipukizi wala hawajui hata kusajili
Tutegemee AUB lazima atalazimisha kuondoka Lacazette yeye naona karidhika
Tutegemee pia wachezaji wazuri hawatakubali kusajiliwa kwenye mid-table team kama Arsenal
Mabadiliko ya Top 6 EPL clubs
Arsenal kurudi kwenye top 6 itawachukua miaka 6-10 ali mradi tu wana mikakati ya kuwarudisha huko, wakiendelea kuwa kama walivyo sasa, FORGET ABOUT TOP 6
- Liverpool
- Man City
- Chelsea
- Man United
- Tottenham Hotspurs
- Leicester City au Wolves (hii tutaconfirma ndani ya misimu mitatu ijayo wakiendelea kuhikilia hizo nafasi)

Wewe ushawahi kubet?Hapo ndg hakuna point uliyoongea, fainali ya FA posibility ni 0.5, game hizi mbili posibility yake ilikuwa 0.75. kama ulisoma hesabu hasa za probability na kufaulu utanielewa
Tena kwa wale wanaobet, ODDS za Arsenal kushinda ni ndogo kuliko za Chelsea kushinda kwa hiyo Real probability ya Arsenal kuchukua kombe la FA ni less than 0.5
Makampuni mengi ya kubeti wanatoa hii average ODDS
Arsenal kushinda ni 3.40 maana yake unapokea mpunga mkubwa kwa sababu Arsenal kushinda ni miujiza
Arsenal na Chelsea kudroo ODDS ni 3.50 bado watakaobeti kwenye hii watapokea mpunga mkubwa kwa sababu nayo droo ni miujiza ya msimu
Chelsea kushinda ODDS ni 2.26, mpunga ni mdogo kwa sababu inajulikana kuwa Chelsea atashinda. Period
View attachment 1513333
View attachment 1513338

Ilikuuma eeeehUnadhani kuna interest yoyote ya Arsenal kumpa favor Aston Villa?
Kwa sisi Tanzania matokeo yanatupa favor kwa sababu ya Samatta kubaki ligi kuu.
Pia kwa mimi mshabiki wa Liverpool FC yananipa favor zaidi Watford akishuka, maana ndiye alijifanya kiherehere cha kuwa wa kwanza kunifunga.
Shudu la SGRSiongei kishabiki ila hapa umeandika mashudu tu.
Wachambuzi wa kibongo mjifunze hata kwa wenzenu wa Ulaya.
Hatukua hatari kwa Villa kivyovyote ndiyo sababu sijasema ushindi wao ni wa bahatiSawa, ila sio Watford ni Aston Villa,
Kwa kukuunga mkono tu katika suala la Saed mimi sijawahi kumuelewa huyu jamaa na mara zote nilikuwa napiga vita uwepo wake ktk kikosi, ana errors nyingi sana,
Nashukuru leo tupo pamoja kwa kukubali kuwa game ilitugeuka yaani sisi ndio tulikiwa Man city na Villa walikuwa Arsenal na kuhitimisha hakuna suala la bahati katika huo ushindi
Villa hawajashinda kwa bahati ni mbinu ndio walituzidi, vivyo hivyo katika game yetu dhidi ya City hatukushinda kwa bahati ila tuliwazidi kimbinu....
Ndio maana nikakwambia mkuu siku ile haukuwa sawa![]()
Ngoja nisikujibu kwa sasa.Hata mimi sijachambua kishabiki, wewe ndio umeona kishabiki, pole sana. Na huyo mwenzako uliyemquote pamoja na wewe mmechambua vizuri kweli nyie mmefilisika kimawazo ndio maana katimu kenu kanaangamia.
Kwa taarifa yako tu wale wa Ulaya unaowaamini wote walichambua na kuafiki kuwa Chelsea itamaliza nje ya top 6 hapo vipi?
Hata nami nimemshangaa.Anashangilia odds 2 kwa 3.Angekuwa mkali kama anavyojiaminisha angepewa moja sisi tukapewa 4 au 5.Wewe ushawahi kubet?
Kwanini kama hujui kitu usinyamaze tu mkuu,
Odd ya 2. Katika beting ni ndogo?
Kwanini asingepewa 0.1 kama ana uhakika wa ushindi???
Huna ulijualo, pointless
To be fair haya ni mawazo yako zaidi kuliko reliable sources zinavyosema.Sababu kubwa ya Arsenal kushindwa kufuzu Europa League kupitia EPL!!
Ndio maana tunasema Auba na Lacazette wanajuta sana kukubali kusajiliwa Arsenal
- Hawana squad ya kuwawezesha kufanya hivyo
- Mashabiki wao hawako na timu yao, mfano wengi wao humu jamii forums wamejinafsisha kwa Chelsea wengine Liverpool
- Management haina dira yeyote, wakati wa Wenga angalau walikuwa wanatoa chipukizi na kuwauza ili washike mshiko, sasa hivi hawana tena chipukizi wala hawajui hata kusajili
Tutegemee AUB lazima atalazimisha kuondoka Lacazette yeye naona karidhika
Tutegemee pia wachezaji wazuri hawatakubali kusajiliwa kwenye mid-table team kama Arsenal
Mabadiliko ya Top 6 EPL clubs
Arsenal kurudi kwenye top 6 itawachukua miaka 6-10 ali mradi tu wana mikakati ya kuwarudisha huko, wakiendelea kuwa kama walivyo sasa, FORGET ABOUT TOP 6
- Liverpool
- Man City
- Chelsea
- Man United
- Tottenham Hotspurs
- Leicester City au Wolves (hii tutaconfirma ndani ya misimu mitatu ijayo wakiendelea kuhikilia hizo nafasi)
Mnazi huyo mzoee tuTo be fair haya ni mawazo yako zaidi kuliko reliable sources zinavyosema.
Umetumia kuangalia timu ilipo kwenye msimamo kisha umefikia muafaka ambao hauko sahihi.
Yaani unaongozwa betting tips.Hapo ndg hakuna point uliyoongea, fainali ya FA posibility ni 0.5, game hizi mbili posibility yake ilikuwa 0.75. kama ulisoma hesabu hasa za probability na kufaulu utanielewa
Tena kwa wale wanaobet, ODDS za Arsenal kushinda ni ndogo kuliko za Chelsea kushinda kwa hiyo Real probability ya Arsenal kuchukua kombe la FA ni less than 0.5
Makampuni mengi ya kubeti wanatoa hii average ODDS
Arsenal kushinda ni 3.40 maana yake unapokea mpunga mkubwa kwa sababu Arsenal kushinda ni miujiza
Arsenal na Chelsea kudroo ODDS ni 3.50 bado watakaobeti kwenye hii watapokea mpunga mkubwa kwa sababu nayo droo ni miujiza ya msimu
Chelsea kushinda ODDS ni 2.26, mpunga ni mdogo kwa sababu inajulikana kuwa Chelsea atashinda. Period
View attachment 1513333
View attachment 1513338
Siyo kila favor ina faida kwa mtoa favor just a game.Unadhani kuna interest yoyote ya Arsenal kumpa favor Aston Villa?
Kwa sisi Tanzania matokeo yanatupa favor kwa sababu ya Samatta kubaki ligi kuu.
Pia kwa mimi mshabiki wa Liverpool FC yananipa favor zaidi Watford akishuka, maana ndiye alijifanya kiherehere cha kuwa wa kwanza kunifunga.
Siyo kila favor ina faida kwa mtoa favor just a game.
Hata usizijue timu ila ukitazama zinapocheza utatamani moja ishinde ndiyo sasa Arsenal kwa hiari wameamua kumfavor Aston villa ukweli ni huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh.. huelewi hata consistency ni nini! Cant helpNashukuru kwa kulitambua hilo mkuu, maana ulichezea mboko tatu tatu kutoka kwa sheffield na westham then ukaja kumpiga tatu manure na hi hiyo ndio consistency inayozungumziwa hapa...
Unaruka sarakasi na kanzu huku hujavaa nguo ya ndani
Tukutane Wembley![]()
Unachekesha wewe,Teh.. huelewi hata consistency ni nini! Cant help