Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pamoja na mapungufu tunayodai kocha kaonyesha au wachezaji ila sometimes scene ya hivi inatokea tu kwenye mpira;Timu ndogo kuiadhibu timu kubwa bila watu kutegemea.
Acheni kumlaumu sana kocha hadi kumtukana kisa kupoteza gemu moja hii.
Labda nae kuna mfumo alikuwa anajaribu kuutengeneza kuelekea gemu ya fainali,ukizingatia timu zilizo relegation zone ndo zakufanyiwa majaribio,na bahati mbaya mfumo huo umefeli.
Binafsi nimefurahia haya matokeo mno.
Tumeamua makusudi kumfanyia hila mbaya watford maana tumempa Aston villa point tatu halafu tunamaliza game na Watford nyumbani ambaye ndiye hasimu mkubwa wa Aston villa ktk relagation zone.
Game ya mwisho Watford tunampa kichapo na abakie hapo hapo alipo hata ikitokea Aston villa akapigwa na West ham bado man u watamchapa westham ili waingie top 4 hali inayopelekea ugumu kwa watford zaidi.
Hivyo basi Watford na Norwich na Bournemouth lazima wapitiwe na panga.
Matokeo hayaepukiki kupangwa hata iweje.Wote mnaomlaumu kocha kwa game ya jana bado hamjui mpira sawasawa.
Arsenal hatuwezi kuingia top 4 wala top 5 mahesabu yanagoma tiketi na turufu yetu ni FA tu ambapo lazima tuhakikishe tunashinda final battle yetu na Chelsea.Ukweli ni huo ndiyo maana tunemchagua Aston villa tumbakishe maana uwezo tunao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu kubwa ya Arsenal kushindwa kufuzu Europa League kupitia EPL!!
  1. Hawana squad ya kuwawezesha kufanya hivyo
  2. Mashabiki wao hawako na timu yao, mfano wengi wao humu jamii forums wamejinafsisha kwa Chelsea wengine Liverpool
  3. Management haina dira yeyote, wakati wa Wenga angalau walikuwa wanatoa chipukizi na kuwauza ili washike mshiko, sasa hivi hawana tena chipukizi wala hawajui hata kusajili
Ndio maana tunasema Auba na Lacazette wanajuta sana kukubali kusajiliwa Arsenal
Tutegemee AUB lazima atalazimisha kuondoka Lacazette yeye naona karidhika
Tutegemee pia wachezaji wazuri hawatakubali kusajiliwa kwenye mid-table team kama Arsenal
Mabadiliko ya Top 6 EPL clubs
  1. Liverpool
  2. Man City
  3. Chelsea
  4. Man United
  5. Tottenham Hotspurs
  6. Leicester City au Wolves (hii tutaconfirma ndani ya misimu mitatu ijayo wakiendelea kuhikilia hizo nafasi)
Arsenal kurudi kwenye top 6 itawachukua miaka 6-10 ali mradi tu wana mikakati ya kuwarudisha huko, wakiendelea kuwa kama walivyo sasa, FORGET ABOUT TOP 6
 
Hapo ndg hakuna point uliyoongea, fainali ya FA posibility ni 0.5, game hizi mbili posibility yake ilikuwa 0.75. kama ulisoma hesabu hasa za probability na kufaulu utanielewa
Tena kwa wale wanaobet, ODDS za Arsenal kushinda ni ndogo kuliko za Chelsea kushinda kwa hiyo Real probability ya Arsenal kuchukua kombe la FA ni less than 0.5
Makampuni mengi ya kubeti wanatoa hii average ODDS
Arsenal kushinda ni 3.40 maana yake unapokea mpunga mkubwa kwa sababu Arsenal kushinda ni miujiza
Arsenal na Chelsea kudroo ODDS ni 3.50 bado watakaobeti kwenye hii watapokea mpunga mkubwa kwa sababu nayo droo ni miujiza ya msimu
Chelsea kushinda ODDS ni 2.26, mpunga ni mdogo kwa sababu inajulikana kuwa Chelsea atashinda. Period
1595385496557.png

1595385885027.png
 
Binafsi nimefurahia haya matokeo mno.
Tumeamua makusudi kumfanyia hila mbaya watford maana tumempa Aston villa point tatu halafu tunamaliza game na Watford nyumbani ambaye ndiye hasimu mkubwa wa Aston villa ktk relagation zone.
Game ya mwisho Watford tunampa kichapo na abakie hapo hapo alipo hata ikitokea Aston villa akapigwa na West ham bado man u watamchapa westham ili waingie top 4 hali inayopelekea ugumu kwa watford zaidi.
Hivyo basi Watford na Norwich na Bournemouth lazima wapitiwe na panga.
Matokeo hayaepukiki kupangwa hata iweje.Wote mnaomlaumu kocha kwa game ya jana bado hamjui mpira sawasawa.
Arsenal hatuwezi kuingia top 4 wala top 5 mahesabu yanagoma tiketi na turufu yetu ni FA tu ambapo lazima tuhakikishe tunashinda final battle yetu na Chelsea.Ukweli ni huo ndiyo maana tunemchagua Aston villa tumbakishe maana uwezo tunao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unadhani kuna interest yoyote ya Arsenal kumpa favor Aston Villa?

Kwa sisi Tanzania matokeo yanatupa favor kwa sababu ya Samatta kubaki ligi kuu.

Pia kwa mimi mshabiki wa Liverpool FC yananipa favor zaidi Watford akishuka, maana ndiye alijifanya kiherehere cha kuwa wa kwanza kunifunga.
 
Sababu kubwa ya Arsenal kushindwa kufuzu Europa League kupitia EPL!!
  1. Hawana squad ya kuwawezesha kufanya hivyo
  2. Mashabiki wao hawako na timu yao, mfano wengi wao humu jamii forums wamejinafsisha kwa Chelsea wengine Liverpool
  3. Management haina dira yeyote, wakati wa Wenga angalau walikuwa wanatoa chipukizi na kuwauza ili washike mshiko, sasa hivi hawana tena chipukizi wala hawajui hata kusajili
Ndio maana tunasema Auba na Lacazette wanajuta sana kukubali kusajiliwa Arsenal
Tutegemee AUB lazima atalazimisha kuondoka Lacazette yeye naona karidhika
Tutegemee pia wachezaji wazuri hawatakubali kusajiliwa kwenye mid-table team kama Arsenal
Mabadiliko ya Top 6 EPL clubs
  1. Liverpool
  2. Man City
  3. Chelsea
  4. Man United
  5. Tottenham Hotspurs
  6. Leicester City au Wolves (hii tutaconfirma ndani ya misimu mitatu ijayo wakiendelea kuhikilia hizo nafasi)
Arsenal kurudi kwenye top 6 itawachukua miaka 6-10 ali mradi tu wana mikakati ya kuwarudisha huko, wakiendelea kuwa kama walivyo sasa, FORGET ABOUT TOP 6
Siongei kishabiki ila hapa umeandika mashudu tu.
Wachambuzi wa kibongo mjifunze hata kwa wenzenu wa Ulaya.
 
Unadhani kuna interest yoyote ya Arsenal kumpa favor Aston Villa?

Kwa sisi Tanzania matokeo yanatupa favor kwa sababu ya Samatta kubaki ligi kuu.

Pia kwa mimi mshabiki wa Liverpool FC yananipa favor zaidi Watford akishuka, maana ndiye alijifanya kiherehere cha kuwa wa kwanza kunifunga.
Mkuu una hasira hahahahaha.

Bora ashuke sio??
 
Binafsi nimefurahia haya matokeo mno.
Tumeamua makusudi kumfanyia hila mbaya watford maana tumempa Aston villa point tatu halafu tunamaliza game na Watford nyumbani ambaye ndiye hasimu mkubwa wa Aston villa ktk relagation zone.
Game ya mwisho Watford tunampa kichapo na abakie hapo hapo alipo hata ikitokea Aston villa akapigwa na West ham bado man u watamchapa westham ili waingie top 4 hali inayopelekea ugumu kwa watford zaidi.
Hivyo basi Watford na Norwich na Bournemouth lazima wapitiwe na panga.
Matokeo hayaepukiki kupangwa hata iweje.Wote mnaomlaumu kocha kwa game ya jana bado hamjui mpira sawasawa.
Arsenal hatuwezi kuingia top 4 wala top 5 mahesabu yanagoma tiketi na turufu yetu ni FA tu ambapo lazima tuhakikishe tunashinda final battle yetu na Chelsea.Ukweli ni huo ndiyo maana tunemchagua Aston villa tumbakishe maana uwezo tunao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya ni maneno ya kujifariji baada ya kupata kichapo kikali. Lacazeti hakucheza?
 
Shida kupata winning momentum. Maana tutaingia fainali ya F.A tukiwa na rekodi ya kufungwa mechi 2 mfululizo( A. Villa + Watford lazima watutungue) hatuezi kumfunga chelsea coming from 2 losses. Wajinga kabisa hawa mechi ilikua inaboa sana. Alaaniwe aliemnunua Pepe badala ya W. Zaha
N.B: poleni wazee wa mikeka maana lazima mlimpa Arsenal leo
Wenzako wanadai Pepe ni "World Classic Player" wewe unasemaje..tupe maoni yako.
 
Pamoja na mapungufu tunayodai kocha kaonyesha au wachezaji ila sometimes scene ya hivi inatokea tu kwenye mpira;Timu ndogo kuiadhibu timu kubwa bila watu kutegemea.
Acheni kumlaumu sana kocha hadi kumtukana kisa kupoteza gemu moja hii.
Labda nae kuna mfumo alikuwa anajaribu kuutengeneza kuelekea gemu ya fainali,ukizingatia timu zilizo relegation zone ndo zakufanyiwa majaribio,na bahati mbaya mfumo huo umefeli.
Kwani arsenal ni timu kubwa??
 
Unadhani kuna interest yoyote ya Arsenal kumpa favor Aston Villa?

Kwa sisi Tanzania matokeo yanatupa favor kwa sababu ya Samatta kubaki ligi kuu.

Pia kwa mimi mshabiki wa Liverpool FC yananipa favor zaidi Watford akishuka, maana ndiye alijifanya kiherehere cha kuwa wa kwanza kunifunga.
Hahahahah, sababu yako ya pili nimeipenda.
Chief Secretary wa Kamati ya roho mbaya
 
Siongei kishabiki ila hapa umeandika mashudu tu.
Wachambuzi wa kibongo mjifunze hata kwa wenzenu wa Ulaya.
Hata mimi sijachambua kishabiki, wewe ndio umeona kishabiki, pole sana. Na huyo mwenzako uliyemquote pamoja na wewe mmechambua vizuri kweli nyie mmefilisika kimawazo ndio maana katimu kenu kanaangamia.
Kwa taarifa yako tu wale wa Ulaya unaowaamini wote walichambua na kuafiki kuwa Chelsea itamaliza nje ya top 6 hapo vipi?
 
Kwa zaidi ya miaka kumi sasa jiji la London linabebwa na Chelsea na ndio maana tunasema
"LONDON IS BLUE"
na nyie hamtaki kuelewa
Hii najua hamtaipenda
 
Unadhani kuna interest yoyote ya Arsenal kumpa favor Aston Villa?

Kwa sisi Tanzania matokeo yanatupa favor kwa sababu ya Samatta kubaki ligi kuu.

Pia kwa mimi mshabiki wa Liverpool FC yananipa favor zaidi Watford akishuka, maana ndiye alijifanya kiherehere cha kuwa wa kwanza kunifunga.
Sisi wenyewe mkuu Watford huwa hatumpendi, kina Troy deeney huwa wanatupiga vijembe sana
 
Kwa zaidi ya miaka kumi sasa jiji la London linabebwa na Chelsea na ndio maana tunasema
"LONDON IS BLUE"
na nyie hamtaki kuelewa
Hii najua hamtaipenda
Acha kelele, sisi tumemuachia Villa ndugu yetu asishuke daraja,

Wewe Jiandae shughuli lazima iambatane na mvua hiyo tarh 1
 
Back
Top Bottom