DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
5gTakataka nyie yaani kwenye Derby mnafugwa mkono na nyongeza View attachment 1516935
5gTakataka nyie yaani kwenye Derby mnafugwa mkono na nyongeza View attachment 1516935
Unatuthibitishiaje kuwa hii hali hauna DNA nayo?Dogo ndio maana una utoto mwingi, huo ni mkono wako.!!!!??? Kuanzia sasa sito jibizana na ww, humu jf unaweza kuwa unajibizana na mtoto wako kabisa.

WeweHii hapa DNA sasa linganisha na yako ipi kubwa. Angalau hapo Chelsea alipata goli ila hapa nyie takataka hamkupata chochote kile![]()
tena darajani hapohapo uwani kwenu unagongwa 
Jezi Replica za Arsenal Saizi zote zinapatikana kwa bei ya 25,000 hapa Sinza dar
Kama unahitaji ni DM , Mzigo hadi kufikia Jana ulikuwa SOLD OUT
kuna mzigo unaingia jumatatu,
Tunaprint na Majina na kuweka number ukihitaji
View attachment 1516733View attachment 1516734View attachment 1516735View attachment 1516736View attachment 1516737
Cheltako mwenzenu amependezwa na jina lenu hivyo sisi tutaanza kulitumia rasmiTakataka kama takataka
12 kamili saa za kibongoSaa ngapi leo tunamshusha mtu daraja?
#Coyg![]()
CHELTAKO HAHAHAHCheltako mwenzenu amependezwa na jina lenu hivyo sisi tutaanza kulitumia rasmi
ChelTako kama CH3LTAKOView attachment 1517556
Huyu Wilock ni mzurulaji mzuri tu yaani bora hapo angemweka Cedric
Leo kuna harufu ya wiki, Auba anabeba Goldenboot
Vard 23
Auba 22
Ings 19
Naona munamsaidia Aston Villa aendelee kubaki kwenye ligi