Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Best yake.Arteta huyu dogo Willock atatuua kwa presha
Best yake.Arteta huyu dogo Willock atatuua kwa presha
Nikiwa naijaj Arseanl hua naifananisha na Arsenal ambayo Granit alikua ni mpiga pasi nyingi kuliko mchezaji yeyote premier league.Mkuu mbona una underestimate uwezo wa Arsenal kwa sasa?, juzi tumewafunga Liverpool kwa bahati na leo tumewafunga Mancity kwa bahati pia?
Wewe kwanza wala sikuhesabii maana ukiona neno UNITED tu unajiharishia...We tukana tu siku hiyo ndio utajua nani kenge,
Kwahiyo waliofunguka kwa Liva na City na wakapon unawachukuliaje?Jamaa nimemshangaa sana huwez kufunguka kwa Liverpool na city ukapona
Kama kumiliki mpira asubiri mech zijazo tupo na kina astonvilla na Watford
Kwanza tushukuru Arteta ana sura mbili ya kuzuia na kupossess
Dogo yakupasa upambane kwanza Kesho then ndio uje hapa kuleta ngenga😂😂😂Masikini akipata ata jirani atajua tu, haya nisha jua ww tulia hivyo hivyo. Siku yenyewe ndio utajua kuwa hujui
Nani aliyefunguka kwa liver na City?Kwahiyo waliofunguka kwa Liva na City na wakapon unawachukuliaje?
Kwa hiyo man u na cheli,man u ndo mbovu?Kwa timu yetu ilivyocheza leo kiukweli ni heri tukutane na Man U siyo Chelsea
Nenda na uhalisia bro, Kwahiyo wewe unaihukumu Arsenal hii kwa kiwango chake cha zamani!!!! Aiseeeeehhhhh duhNikiwa naijaj Arseanl hua naifananisha na Arsenal ambayo Granit alikua ni mpiga pasi nyingi kuliko mchezaji yeyote premier league.
Arsenal iliyokua inamiliki mpira na kufunguka.
Game ya Liva tulishinda ila Liva alimiliki mpira kwa 80% leo tumeshinda ila tumechezeshwa mno nusu uwanja.
Kwahiyo nikisema ushindi wetu ni wa bahati ni kwa mazingira hayo
Mkuu usiwaze mimi natak a hili kombe libaki home, kazi kwako Sasa... Final hii sikuachi maana Ile alikuwa mamluki Cech aliuza nyumba, hii Luiz tushampanga kabisaSawa endelea kukalili hivyo hivyo
Haina viungo na wingers wakali kama ChelseaKwa hiyo man u na cheli,man u ndo mbovu?
Umekula?Dasss ngoja tu nishangilie Arsenal Leo maan niliwaamini nikawawekea nusu mshahara mmenifuta machozi,mlikuwa wapi siku zote kufanya hvi?
Wakati tunajaji kua Emery anaharibu timu tulikua tunaifananisha kwa kiwango cha lini?Nenda na uhalisia bro, Kwahiyo wewe unaihukumu Arsenal hii kwa kiwango chake cha zamani!!!! Aiseeeeehhhhh duh
Jamaa nimeshangaa sanaNani aliyefunguka kwa liver na City?
Chelsea did and survived.Nani aliyefunguka kwa liver na City?
Kijana magoli ya Liverpool wala sio yakubahatishaWazee mimi nashabikia mpira as a whole, sibinywi na kua shabiki wa Arsenal.
Kuna vitu vingi hua watu wanavibypass simply kwakua utimu umewashika. Kuna member mmoja alikua anaponda formation ya 3 4 1 2 na nikawa namuambia kwanini tumeresort kwenye hiyo.
Leo Arteta anatumia hiyo hiyo na anaipigia debe kwa nguvu zote. Mara zote mimi hujaribu kuona zaidi ya ushabiki.
Kama ni mbinu ile mechi na Liva bila Virgil kupiga back pass tuliku na plan nyingine? Uliweza kuhisi kama kuna plan pale?
Anyway kila mtu yuko entitled na mawazo yake