Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Pointless ..bure kabisa ... takataka
 
Ebwana nilikua online kucheki games ninazojua tulicheza 3 4 1 2 lakini hazinipi picha.

Game ya Arsenal na Liva tuliyoshinda 2 kwa 1 Pepe alikua 10
Huna team kalale ww
 
Hivi Pepe tumfanyaje wazee wangu, mbona kipaji kikubwa sana lakini hana njaa ya mafanikio km Waafrika wengine kina Auba, Mane,Sarr.
Nafikiri yupo on the right track. Ukilinganisha takwimu zake na za Ronaldo wakati kahamia Man u Pepe ana takwimu nzuri.

Afanye mpango awe na uwezo wa kucut in na kuscore
 
Nafikiri yupo on the right track. Ukilinganisha takwimu zake na za Ronaldo wakati kahamia Man u Pepe ana takwimu nzuri.

Afanye mpango awe na uwezo wa kucut in na kuscore
Mashabiki wa hii team ni viazi
 
Katika mechi na Liva Arteta aliongea na Bellerin kispanish, kisha akaongea na Ceballos kiingereza halafu Lacazette alivyoinasa ile pasi ya Virgil akasema kwa kifaransa 'Ale ale laca'

Nimekumbuka hii baada ya kumsikia akishout kwa kifaransa mechii hii pia.

Anajua kuconnect na wachezaji.
 
Arteta anaongea lugha 7 kama Arsene Wenger


Yule muhindi fala English ilikuwa inamsumbua ndio maana Alitaka kuishusha timu Daraja
 

Wewe kama sio shabiki wa arsenal basi, mambo ya u commentator hatutaki. Sis tunajua arteta aliingia na game plan hiyo.
makosa yao hayo, usiite bahati yetu. Auba au Pepe angepaisha ungesema bahati yao City au uzembe wa wachezaji wetu?!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…