So far Arsenal imeonyesha improvement kwa kiasi kubwa mno.
Wameingia kwenye game wakiwa free from fear. Tushazoea kuiona Arsenal ya siku zote ikihofia pale inapocheza na timu kubwa, ila leo unaona kabisa nafasi zinatengenezwa..
Pia naona kuna confidence kubwa kwa wachezaji.
Kuhusu kiwango cha mchezaji mmoja mmoja naona vimeimarika sana, isipokuwa Bellerin kidogo hayupo sawa leo.
Kama kocha ataweza kufanya mabadiliko kwa kumtoa Belle aingize Holding kisha Maitland apige RWB na Tierney LWB inaweza kusaidia ila sio kwa sasa.
Mbele kubaki vile vile, asilete Sakka wala Willock.
Tuangalie 2nd Half wataingiaje ila vijana mpaka wamejitahidi mno.
Game bado ipo upande wetu.
#COYG[emoji123]