Pure Moods
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,252
- 5,381
Mzee leo mnapigwa si chini ya 3.Leo tukishinda direct kombe ni letu 90%, Man City ndo timu inayotusumbuaga
Mzee leo mnapigwa si chini ya 3.Leo tukishinda direct kombe ni letu 90%, Man City ndo timu inayotusumbuaga
Mzee leo mnapigwa si chini ya 3.
Kwakweli tunajitahidi sana,How many shots on target?
Kwa taarifa yako cebalos ndio kabalance team .. akitoka yy na lacazete kushinda sahauHuyu Ceballos leo anapiga miback pass ya nini hii![]()

Sure,Timu inatakiwa kutulia na kuacha pass within penalt box
Sawa ila anaturn sanaKwa taarifa yako cebalos ndio kabalance team .. akitoka yy na lacazete kushinda sahau![]()
https://t.co/JR0vimQ62Y