DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Na hili ndilo la msingi,Hahaha, pole sana mkuu. Naona umekata tamaa kabisa. Ila Nauhakika kama Arteta atapewa mahitaji yake ataitransform timu into a competitive one.
Na hili ndilo la msingi,Hahaha, pole sana mkuu. Naona umekata tamaa kabisa. Ila Nauhakika kama Arteta atapewa mahitaji yake ataitransform timu into a competitive one.
Hapo kupewa mahitaji yake hapoHahaha, pole sana mkuu. Naona umekata tamaa kabisa. Ila Nauhakika kama Arteta atapewa mahitaji yake ataitransform timu into a competitive one.
Pacha wako huyo mnaokuja jukwaa letu kutusumbuaNdio nani huyo? Mbona sijamuona
Kipigo ni kipigo tu haijalishi umefungwa na nani. Man City kakubonda wewe mimi nimemnyooshaChelsix kachezea mboko tatu tatu,bila shaka ni yeye huyo
Sababu kufungwa sawa ila umefungwa na nani?hivi mimi nliyefungwa na City unaniweka kapu 1 na aliyebugizwa tatu tatu na Uniteds?aaaaaaahhhh mkuu
Man city umemnyoosha ila na yeye kamnyoosha Liverpool kipigo cha mbwa koko basi wewe bingwa,sawa?Kipigo ni kipigo tu haijalishi umefungwa na nani. Man City kakubonda wewe mimi nimemnyoosha
Sina pacha kiazi mimiPacha wako huyo mnaokuja jukwaa letu kutusumbua



Usimkatae pacha wako wakati mnaongea lugha moja ya kuipaisha man uSina pacha kiazi mimi![]()
Yupi huyo mkuu?Usimkatae pacha wako wakati mnaongea lugha moja ya kuipaisha man u
Huyu boss wetu inabidi amwage mpunga mrefu dirisha hili la usajili, vinginevyo tuskip kwanza kuisupport timu until further notice.Kuna michezaji tunayaonea huruma sana kucheza hii timu, peleka Benfica au Torino level zao.



Kweli kabisa, mimi nasemaga hapa ni muda wa kufumua kikosi huu after 3years tuje na story mpya,sio kila msimu ni zilezileGame ya juzi was all about mentality,Timu hii kuna akili za kitoto sn na kuchukua EPL ni ngumu kwa hii mentality, mtu ukishamshika unaanza kucheza show game ya nini sasa?,hayo ni mambo ya watoto, piga goli za kutosha kwanza,na Game ya leicester hivyohivyo paka tunapata redcard mambo yakawa mambo sasa.