Kocha hajapata muda wa kukaa na wachezaji vizuri, wakizoeana timu itasumbua sana kwenye kuwania kucheza Europa.
Bakieni na hao hao wachezaji, watawasidieni .



Mh kushinda Leicester?
Kwahiyo Chelsix ni ndogo!!!?Mkuu tukizungumzia timu, tunazungumzia hizi kubwa.
Kwahiyo Chelsix ni ndogo!!!?
Ndio nani huyo? Mbona sijamuonaSitajibu comment ya mbuzi anayejiita Gpili. Anaandika kipuuzi sana.
Naomba mniunge mkono.
Chelsix kachezea mboko tatu tatu,bila shaka ni yeye huyoHapa nazungumzia Liverpool, City, Man United, Chelsea na Arsenal.
Nani kafungwa zaidi ya Arsenal baada ya break?




hivi mimi nliyefungwa na City unaniweka kapu 1 na aliyebugizwa tatu tatu na Uniteds?aaaaaaahhhh mkuuChelsix kachezea mboko tatu tatu,bila shaka ni yeye huyo
Sababu kufungwa sawa ila umefungwa na nani?hivi mimi nliyefungwa na City unaniweka kapu 1 na aliyebugizwa tatu tatu na Uniteds?aaaaaaahhhh mkuu
Anhaa basi mi nikajua tunajumuishwa wagombea top 4Mkuu tukizungumzia timu, tunazungumzia hizi kubwa.
Wewe umebarikiwa kutomuona nishamuignore hata hivyoNdio nani huyo? Mbona sijamuona
Anhaa basi mi nikajua tunajumuishwa wagombea top 4
Soma vizuri comment yangu uielewe mkuu, vitimu vidogo vidogo vya kukumalizia pakti kweli?????Chelsea kafungwa mara 2, dhidi ya Westham na Sheffield.
Nyie mmefungwa mara 3, dhidi ya City, Brighton na Tottenham.







Soma vizuri comment yangu uielewe mkuu, vitimu vidogo vidogo vya kukumalizia pakti kweli?????
Hawa wenzetu Uniteds zote zimemaliza paktiView attachment 1505045
Mkuu basi tutafukuza timu nzima.Yule Mustafi yupo kama maua ya saa 4 ,yananyauka na kuchanua
Huyu Kolasinac ni wa kuuza au kutoa hata bure,huyu ndio aliyepiga back pass isiyo na macho kwa Luiz jamaa wakapata goli la zawadi,hovyo kabisa
Pepe tumpe muda,
Auba,Lacaila anahitajika striker mwingine wa kiwango cha juu pale mbele.
Hector hafai kuanza kwa sasa mizinguo sana.
Timu bado ina kikosi finyu sana hao walioanza wengi wanatakiwa waanzie bench,
Potelea pote, tunajenga timu kwanza maana hata wewe kuna kipindi ulisugua sana tu huku benchi na umetengemaa sasa hivi unatisha .Hahaha, haya bana.
Ila kumbuka Europa mnaeza msiione, maana tar 15 tunawaharibia tena.
Wenzenu wana nafasi ya UEFA.