Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Potelea pote, tunajenga timu kwanza maana hata wewe kuna kipindi ulisugua sana tu huku benchi na umetengemaa sasa hivi unatisha .
Approach yenu haioneshi kama kweli mnajenga timu.
Binafsi naona harakati zenu siku hizi hazitofautiani na kina Everton, Southampton, Newcastle nk, yaani zile timu ambazo malengo yao ni kuendelea kucheza Premier League.
