DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Yah,Naona Luiz beki wenu kisiki yuko ndani leo.
Yah,Naona Luiz beki wenu kisiki yuko ndani leo.
Baada ya mechi ya leo mtakuwa wa 10
Mislintat has retained an interest in a number of Arsenal players, with Dinos Mavropanos already close to agreeing a loan move.
Sokratis, who has just one year remaining on his contract, is also of interest, however, his wages could make an agreement problematic.
Naona Golden eyes ameamua kutusaidia kupunguza baadhi ya mizigo![]()
Hizi akaunti zenu tunazijua zote ila tunawastahi tu,tunawajua vizuri,ungetumia acc OG tu mbona tungekuelewa, kijana ulikuwa mchangiaji mzuri sn humu kutoka The blues, ni km yule Computerarsenal alivyo na akaunti mia mbili kidogo tunazijua zote...Naona unaota, hiv nyie takataka mna hela ya kumleta huyo beki.!!??


Hivi kati ya Arsenal na Bunge letu hili la 11 nani dhaifu zaidi?
Got the answer?
Bado una nguvu za kutype mkuuHivi kati ya Arsenal na Bunge letu hili la 11 nani dhaifu zaidi?


Kama tunafungwa na hii Arsenal dhaifu, hakuna maana ya sisi kupewa Guard of Honor kwa game zilizobaki.


Bado una nguvu za kutype mkuu![]()
Liverpool LIVE MATTER![]()
Nshakuchinja nakuja natia AUBA aje kunyonyoa kabisaTutapindua meza.