Hivi nyie, bila ROTATION mnadhan hao kina NASRI ni marobot wa kucheza dakika zoote mechi zote?, kama hamjui tht's wth costing Chelski now, hawana quality players wa kuziba mapengo ya kina Drogba na wenzao ambao wako off form, so its like Ancelloti hana choice nje ya walewale pensioners wake.
Tukiacha ushabiki, i have tht respect kwa Babu wangu SAF, atakupangia kikoc hapa cha wiki hii tofauti kbsa na cha last week na kikubwa KINA DELIVER....asa nyie kama wale wachezaji wenu wa buku mbilimbili kazi yao ni kucheza hatua ya tano ya Carling Cup huku EPL AW anawaweka benchi hadi pale akizidiwa, basi mwaka huu, EPL, CL na FA mtaisikia bombani. Squad depth (wth quality players) na rotation (kama yetu, sio ya mwehu Benitez), ndo road to success.
Usiku mwema watani.:whoo::whoo::whoo:
Alikuwa na fifth yellow kadi, alipewa mechi na nyie.
Alikuwa na fifth yellow kadi, alipewa mechi na nyie.
Ulikuwa umejichimbia wapi saa zote hizi? Au ulikuwa chemba na mwanakondoo wako? hahahahahahah hongera zako naona leo umepata nguvu ya kupita mitaa hii.
Ahsante Mkuu lakini tulizitaka zote tatu na tulishaziweka kibindoni lakini madudu ya AW yametuharibia siku. Wengi tungeyakubali matokeo haya kama upangaji usingekuwa mbaya. Hakukuwa na sababu yoyote ya kutowaanzisha Persi, Fabregas na Walcott. Persi na Fabregas hata kwenye substitutes hawakuwemo.
Hongera Mkuu naona leo mmeweza kuzoa points zote tatu.
Mbona nyie hamfanyi hiyo ROTATION ya watu 8 kwa mpigo????....lol
Mkuu acha izo nyinyi lini mumebadili wachezaji 8 katika PL? Labda kuwe na injury, hata nikiangalia kikosi chenu rotation yenu always ni wachezaji 15. Hawa akina Rio, Owen, Giggs na Scholes inaeleweka kutokana na umri lazima muzungushe venginevo Timu yenu almost ni ileile game in game out.Hivi nyie, bila ROTATION mnadhan hao kina NASRI ni marobot wa kucheza dakika zoote mechi zote?, kama hamjui tht's wth costing Chelski now, hawana quality players wa kuziba mapengo ya kina Drogba na wenzao ambao wako off form, so its like Ancelloti hana choice nje ya walewale pensioners wake.
Tukiacha ushabiki, i have tht respect kwa Babu wangu SAF, atakupangia kikoc hapa cha wiki hii tofauti kbsa na cha last week na kikubwa KINA DELIVER....asa nyie kama wale wachezaji wenu wa buku mbilimbili kazi yao ni kucheza hatua ya tano ya Carling Cup huku EPL AW anawaweka benchi hadi pale akizidiwa, basi mwaka huu, EPL, CL na FA mtaisikia bombani. Squad depth (wth quality players) na rotation (kama yetu, sio ya mwehu Benitez), ndo road to success.
Usiku mwema watani.:whoo::whoo::whoo:
Sijaangalia mechi yenu lakini nafikiri atawacost sana kwa kubadili wachezaji mara kwa mara, walioshinda mechi ya Chelsea walijenga confidence na morali hivyo alitakiwa awape waendeleze pale walipoishia....kwa maoni yangu ni bora angewapumzisha mechi inayofuata dhidi ya Birmingham weekend hii maana watakuwa na mechi kali zaidi dhidi ya Man City Jumatano. Wenger ana kikosi kikubwa lakini nafikiri hajui kupangilia rotation hasa kwenye kipindi cha mechi nyingi ndani ya muda mfupi, I hope we'll take full advantage of it.
Mbona nyie hamfanyi hiyo ROTATION ya watu 8 kwa mpigo????....lol
Nipo Jukwaa la Siasa mkuu! DOWANS na Zito
Haya usiku mwema miye naenda mtaani kuosha macho kidogo
Wachezaji kwenye nyekundu ni just squad players na wala sifikiri siku kama kwenye mechi muhimu ya PL Fergie apumzishe Evra, Rio,Vidic na kuanza na Oshea - Evans - Brown na mbele kule apumzishe Rooney na Berba aanze na Macheda na Obertan.Sie SAF anaweza panga hvi na tuka deliver (kikosi tofaut na mech ya jana, na kama una mashaka na quality ya mchezaj tajwa nambie), Oshea Rafael), Evans/Brown (Rafa au Rio), Evra (Oshea), Fletceht, Carick, Ander (Gibson, Scholes), Nani (Park), Macheda au Obertan for Beba...apo sijakutajia kina Neville, Chicharito na Kuszak...apo vipi?
Sote tunaelewa ishu ya Fabregas na vilevile kwamba kipindi hiki mechi zinakuja haraka 2 games in a week so mapumziko ni muhimu, lakini sio unabadili wachezaji 8? hakuna sababu kwa nini Walcoltt, RVP ama Djourou wakae benchi, ila tunafahamu Wilshere, Song na Clichy ama hata Sagna hawa ndio wanahitaji mapumziko. Suala sio kupumzisha wachezaji ila jinsi iliyotumika kupumzisha baadhi ya wachezaji.Hivi nyie washabiki wa arsenal uwa mnafuatilia timu yenu...Fabregas hakuweko kwenye kikosi kwa sababu ana kadi tano za njano. Wenger ana wakati mgumu mechi zote mbili zijazo ni ngumu je ata rotate ama atachezesha first eleven.
kwa style hii mkuu ni ngumu sana kuchukua ubingwa.hata kama ku-shuffle mkuu sio wachezaji nane wote na bora ulete subs mapema unapoona meli ina zama au uanzishe vifaa vyako wakimaliza kazi mapema unawatoa waende kupumzika.
...kiukweli, mwenendo wetu msimu huu haufurahishi kiviiiile!
anyway, excuse ya less than 48-hours break na team reshuffling inakubalika. Tutange lijalo... :disapointed:
Hivi nyie washabiki wa arsenal uwa mnafuatilia timu yenu...Fabregas hakuweko kwenye kikosi kwa sababu ana kadi tano za njano. Wenger ana wakati mgumu mechi zote mbili zijazo ni ngumu je ata rotate ama atachezesha first eleven.
Sote tunaelewa ishu ya Fabregas na vilevile kwamba kipindi hiki mechi zinakuja haraka 2 games in a week so mapumziko ni muhimu, lakini sio unabadili wachezaji 8? hakuna sababu kwa nini Walcoltt, RVP ama Djourou wakae benchi, ila tunafahamu Wilshere, Song na Clichy ama hata Sagna hawa ndio wanahitaji mapumziko. Suala sio kupumzisha wachezaji ila jinsi iliyotumika kupumzisha baadhi ya wachezaji.
sawa sawa mkuu,rotation inakubalika lakini sio unaenda kutupa tu kundi la wachezaji ambao hawaezi kucheza pamoja .Sijaangalia mechi yenu lakini nafikiri atawacost sana kwa kubadili wachezaji mara kwa mara, walioshinda mechi ya Chelsea walijenga confidence na morali hivyo alitakiwa awape waendeleze pale walipoishia....kwa maoni yangu ni bora angewapumzisha mechi inayofuata dhidi ya Birmingham weekend hii maana watakuwa na mechi kali zaidi dhidi ya Man City Jumatano. Wenger ana kikosi kikubwa lakini nafikiri hajui kupangilia rotation hasa kwenye kipindi cha mechi nyingi ndani ya muda mfupi, I hope we'll take full advantage of it.