Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Baadae lazima mtaongea lugha tofauti Mourinho anawasuka vizuri bila tatizo .
Taja timu ambayo haijawi kufungwa.mpaka arsenal akifungwa iwe ajabu..
Hata wewe ukitaka unashinda tu,au unasemaje.
 
Taja timu ambayo haijawi kufungwa.mpaka arsenal akifungwa iwe ajabu..
Hata wewe ukitaka unashinda tu,au unasemaje.
Hakuna team isiyo fungwa ila siku ya leo lazima mkalie naomba usiende angalia mpira na matokeo yako sababu hampati hata draw leo na Harry Kane anawatindua leo
 
Hakuna team isiyo fungwa ila siku ya leo lazima mkalie naomba usiende angalia mpira na matokeo yako sababu hampati hata draw leo na Harry Kane anawatindua leo
Kwani wewe hutaki kutia goli?...
 
Arteta leo anipangie Saka, pepe, Auba na Lacca kwa pamoja, Saka acheze 10 atanifurahisha sana.
 
Arteta leo anipangie Saka, pepe, Auba na Lacca kwa pamoja, Saka acheze 10 atanifurahisha sana.
Makocha walivyo unakuta unavyotaka wewe ndo haweki.. Unatamani hiyo nafasi upate wewe.

Ndo hivyo huwezi kumridhisha kila mtu!
 
Habari mnayo huko
Screenshot_20200712-174923.jpg
 
Nina uhakika asilimia zote hii team yenu haiwezi kushiriki hata europa league kwa asilimia mia moja
 
Back
Top Bottom