Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

ARSENAL MBIONI KUTAMBULISHA JEZI ZA MSIMU UJAO

Jezi za Nyumban zitatambulishwa rasmi Tarehe 13 mwezi wa 7

Jezi za ugenini zitatambulishwa tarehe 22 mwezi wa 7

Pia Arsenal imepanga kutumia jezi Mpya za Nyumbani msimu ujao katika mechi ya mwisho dhidi ya Watford katika kufunga mwisho wa msimu huuView attachment 1503196
Hii team hadi jezi takataka
 
Wewe Gspot kiherehere sana.

Muda wote unahisi kuwashwa tu!
Habari za hivi punde; Mshambuliaji wa arsenal Alexander lacazete amemuomba nyota wa Man utd Mason greenwood amfundishe jinsi ya kufunga magoli ili aondokane na ukame unao mkabili kwa mda mrefu ( source) Arsenal evening
 
Bruno Fernandes is the first player in Premier League history to hold the Player of the Month and Goal of the Month awards concurrently #MUFC [premier league]
 
Arsenal squad Next season
IMG_20200710_235720_454.jpg
 
Kwani Nketiah ni mchezaji wa Manyumbu?
Kipindi cha nyuma mlikuwa na Arshavin na Robin ilikuwa ni Arsenal inafikirisha kidogo pindi mkikutana sasa hivi eti utegemee mchezaji aina ya Nketiah kukupa mafanikio?
 
Takataka Kama hiyo ikija man utd itaokota mipira tu
Mh Nketiah msimu uliopita alicheza mechi moja tu na akascore goli moja kabla ya kuondoka kwa mkopo. Sanchez mpokea 500,000£ aliscore magoli mangapi vile?
 
Habari za hivi punde; Mshambuliaji wa arsenal Alexander lacazete amemuomba nyota wa Man utd Mason greenwood amfundishe jinsi ya kufunga magoli ili aondokane na ukame unao mkabili kwa mda mrefu ( source) Arsenal evening
Utoto huu.
 
Kipindi cha nyuma mlikuwa na Arshavin na Robin ilikuwa ni Arsenal inafikirisha kidogo pindi mkikutana sasa hivi eti utegemee mchezaji aina ya Nketiah kukupa mafanikio?
Nyinyi ni timu gani?
 
Watu wa JF wanajulikana si tu kwa username bali pia kwa michango yao na aina yao ya uandishi, mfano leo hii milangomitatu watu wq humu tunamjua hata akija na account 10 na tunaishi nae so kwa uandishi huu wewe unaonekana ni mgeni humu pia upeo wako inaonesha kabisa ni u20 so upo kwa foolish age,

Kwanini hamjifunzi kukaa kimya?mfano Mimi kuliko kuwavurugia watu amani na kujishushia heshima kama sina hoja ya msingi naamua kuwa mpenzi msomaji wa michango ya wengine na siku zinaenda,
Siri ya mafanikio ni kuwa na upendo pia kuishi vizuri na majirani zako,
Kama jambo huna uelewa nalo soma michango ya wengine ujifunze,

Na haka katabia kuna hizi account ENZO , papaa G na Gpili mnatakiwa sana mjifunze kuishi na watu vizuri, maana hata matusi kwenu ni kawaida tu,sasa humu JF watu wanatumia sana acc fake unaweza kuta Aaron ndio mchungaji wako hapo kanisani kwenu , King Ngwaba ndio baba yako mzazi au wa kufikia na Don Clericuzio ndio shemeji yako mume wa Dada yako ambaye amekununulia hiyo smartphone unayotumia kumtukana humu,

Elimu ya mitandao ya kijamii imewapitia kushoto sana .

Mwenye masikio na asikie
Nishatumia account Kama 6 humu jf usishange pia next year nkawa nna account mpya me wakitambo Sana nkibadili simu nabdili hadi Google account
 
Watu wa JF wanajulikana si tu kwa username bali pia kwa michango yao na aina yao ya uandishi, mfano leo hii milangomitatu watu wq humu tunamjua hata akija na account 10 na tunaishi nae so kwa uandishi huu wewe unaonekana ni mgeni humu pia upeo wako inaonesha kabisa ni u20 so upo kwa foolish age,

Kwanini hamjifunzi kukaa kimya?mfano Mimi kuliko kuwavurugia watu amani na kujishushia heshima kama sina hoja ya msingi naamua kuwa mpenzi msomaji wa michango ya wengine na siku zinaenda,
Siri ya mafanikio ni kuwa na upendo pia kuishi vizuri na majirani zako,
Kama jambo huna uelewa nalo soma michango ya wengine ujifunze,

Na haka katabia kuna hizi account ENZO , papaa G na Gpili mnatakiwa sana mjifunze kuishi na watu vizuri, maana hata matusi kwenu ni kawaida tu,sasa humu JF watu wanatumia sana acc fake unaweza kuta Aaron ndio mchungaji wako hapo kanisani kwenu , King Ngwaba ndio baba yako mzazi au wa kufikia na Don Clericuzio ndio shemeji yako mume wa Dada yako ambaye amekununulia hiyo smartphone unayotumia kumtukana humu,

Elimu ya mitandao ya kijamii imewapitia kushoto sana .

Mwenye masikio na asikie

Huyo dogo anakera aisee, tolerance level yangu huwa iko juu sana kwenye utani wa michezo, huyu naona kaifikia.
 
Back
Top Bottom