Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Kumbe hii Kenge Gpilipilihoho na huku inapitaga? Watu wanaokaa kwa Mashemeji zao utawajua tu! Shemeji akienda Bafuni baada ya Kumnyandua Dadayake yeye ndiyo anapata muuda wa kuichukuwa Simu ya Shemeji fasta na kupost ujinga wake! Na ili mugundue hilo ingieni kwenye profile yake utakuta posts zake kwenye majukwaa yote zinapostiwa kwa wakati mmoja! Hii inamaanisha muda anaochukuwa Simu ya Shemeji anapita katika Nyuzi zote anapost Fasta ili Shemeji akitoka Bafuni awe ameshapitia notifications zote na kulog out.

