Saka ni Mzuri akicheza LW au LWB.Hili ni kweli nimeona hata mashabiki wakiliongelea.
Jimenez anasemaje sasa?Raul Jimenez anasema tukutane saa 1: 30 usiku.
Kila lakheri Mbweha

Amenikumbusha zidane vs bayern liverkusen UEFA1st goal. SakaView attachment 1497705
True,lakini leo PEPE alikuwa na dharura,mkewe/girlfriend wake alikuwa hospital tayari kwa kujifungua.Saka pamoja na kufunga ,ila kule RW hapawez
Angekuwepo Pepe angepata mipira mingi kutoka kwa Soares
Willock bado sio mchezaji wa kuichezea timu kubwa ya Arsenal kama tunataka kushindana na wakubwa kwenye kubeba makombeNdio kaasist laca akaweka kambani. Mambo mengine mwachie kocha kaka
Willock bado sio mchezaji wa kuichezea timu kubwa ya Arsenal kama tunataka kushindana na wakubwa kwenye kubeba makombe
Acha kocha ajenge tim tu, madogo hua wanauzwa na wengine wanaenda kwa mkopo. Piga moyo konde ndio kwanza mwaka wa 17 bila kombe. Tutafikia mafanikio ila kwa kujipanga sio kununua peke yake. Unaweza ukanunua na akachua misimu miwili ndo akawa kwenye fom. Cheki Pepe. Arteta anajua kazi. Pa1
Matteo anauzwaUmeongea point ila problem kwangu ni kwa willock na Matteo au Nelson,hawa wamepewa sana nafasi pale tena sana ila no improvement,angalia saka na Martinelli hawa wote wanalingana na hao nliowataja juu ila angalia kazi yao mpaka wakubwa wenzetu wanaanza kuwamendea hata Nketiah sio mbaya sana ila lazima tuwe na striker mwenye kiwango sio wa kubahatisha