Marefarii wa PL hawaeleweki, sisi Fabregas alinyoosha mkono na kuunawa mpira tuliambiwa ni penalti leo sisi tumenyimwa na Dean ameona kabisa alikuwa na clear view:redfaces:
upumbavu mtupu ,huyu wenger hana maana kabisa.tumeshindwa kuchukua advantage kutokana na draw ya united jana kisa anapumzisha.sasa hizo mechi ngumu zinazo kuja tukishindwa kushinda si ndio tumeharibu zaidi? ujinga mtupu anatufanya tuwe wasindikizaji bila sababu.
Haya vijana, next time muwe na adabu, na tabia ya kutukana mamba wakati mto NILE hamjavuka yatawatokea puani.
Salaamu kwa mjomba Wacha1.....mkalale sasa, acheni kulialia.
Haya vijana, next time muwe na adabu, na tabia ya kutukana mamba wakati mto NILE hamjavuka yatawatokea puani.
Salaamu kwa mjomba Wacha1.....mkalale sasa, acheni kulialia.