Baba Mkubwa
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 824
- 133
Hongereni sana Ze Gunners wenzangu....Hope leo vijana wataiendeleza furaha yetu.............Pamojah
Mkuu kumbuka mnacheza na Brum weekend (ambayo ni mechi ngumu zaidi kuliko hii) alafu baada ya hapo mnacheza na Man CitehFabianski, Eboue, Squillaci, Koscielny, Sagna, Diaby, Rosicky, Denilson, Bendtner, Chamakh, Arshavin. Subs: Szczesny, Nasri, Vela, Walcott, Wilshere, Djourou, Clichy.
hizi changes alizofanya wenger ni noma leo.najua wanahitaji kupumzika lakini mbona united walienda full nondo jana? hiki kosi leo kitakosa creativity na tuweza kutia aibu.wenger nomaaa.
Mkuu kumbuka mnacheza na Brum weekend (ambayo ni mechi ngumu zaidi kuliko hii) alafu baada ya hapo mnacheza na Man Citeh
another tough game.
Mkuu kumbuka mnacheza na Brum weekend (ambayo ni mechi ngumu zaidi kuliko hii) alafu baada ya hapo mnacheza na Man Citeh
another tough game.
naona nzogbia ka-dive,moja bila sasa kumekucha.kazi hipo huyu nzogbia huyu noma na pace yake.
Sina shaka na hili kwa vijana wa nyumbani emirate, imani yangu ni kuwa msimu huu tuko kivingine kabisa Arsenal, kuna washabiki wanafikiri Arsenal itakuwa ile ile kila msimu, hapana banaaa na wala msishangae tukaondoka na vikombe 3 msimu huuHongereni sana Ze Gunners wenzangu....Hope leo vijana wataiendeleza furaha yetu.............Pamojah
alipolala wengine wakaibuka, its too late for himArshavin naye makali yake sijui yameishia wapi amekuwa mcezaji wa kwaida sana siku hizi
itakuwa mbaya kumfunga the blues halafu tushindwe kumfunga huyu wa leoarshaviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiin katutoa 1-1.