Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
| Sokratis reportedly misses tonight's match through injury.[@ChrisWheatley_]
| Sokratis reportedly misses tonight's match through injury.If only wishes were horsesMkuu umefufuka baada kusikia Werner na Ziyech wamekuja kuamsha....!hahahahahah
London is Red
Hahahahahaha utaliona zito hilo kulirudisha ulipolitoa,

Mambo gani haya tena??Hivi nyie washikabunduki mnategemea kufanya nini mbele ya pep View attachment 1481717
Chat all things Arsenal
Make new friends
Support the boys
Cha muhimu Arsenal wamchunge KDB asiwe mwekundu usoni. Wajitahidi kumfanya asichukie akapata moto, wacheze naye kwa tahadhari.





sasa hio kazi wanamwachia nanHaya mambo hata mimi siyajui kabisaMambo gani haya tena??
Kwa alishindwa kuongea wakati unai yupo .aache unafiki"Unai alikuwa mjuaji sana. Alileta watu wake na kutimua waliokuwepo. Mbaya zaidi watu wake hata kiingereza kiliwashinda. Akataka kuleta soka la kihispania kwa pupa"
Jens Lehmann
Kwa iyo unamanisha na Luiz ni rubbish?Who needs those rubbishes



Sio hawaminiki Auba mchezaji mkubwa ..awezi kuendelea kubaki kwenye club isiyo na mbele wale nyuma..ipo ipo tuWill Jr unakumbuka juzi kati tuliongea kuhusu Auba?nkakwambia huyu jamaa lazima atasepa tu msimu ukiisha sababu anajua hana cha kupoteza leo kaja na kauli hii Tujiandae kwa lolote wachezaji wa south America na Africa hawaaminikiView attachment 1479774
Muna kikosi cha kucheza taarabu tu..tuna kikosi chenye uwezo wa kuifunga city, what is needed is confidence


