Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Pamoja nduguHongera mkuu...vyanzo vyako ni Authentic mno(@TheAthletic + @guillemB)...hao jamaa ni hatarii...nlifkir mm ndo mwana gunners Anaewajua hawa jamaa...Salute mate![]()
Pamoja nduguHongera mkuu...vyanzo vyako ni Authentic mno(@TheAthletic + @guillemB)...hao jamaa ni hatarii...nlifkir mm ndo mwana gunners Anaewajua hawa jamaa...Salute mate![]()
Wewe ni mamluki ,mbona hatujawahi kukuona TukishindaMimi ni Arsenal lakini leo tunapokea kichapo kutoka kwa Man city, ukweli lazima usemwe tuna timu dhaifu sana hasa tunapokutana na Man city.
Karibu ushuhudie Arsenal ya Arteta inayojengwa taratibu tukitoa burudani safi kabisa hapo emptyhad .Hahahaha, aisee leo napoteza usingizi wangu kuangalia hiyo game. Msicheze madudu nategemea kandanda safi. Hata kama mtafungwa basi mfungwe kwa mbinde.
Inakuhusu niniArsenal leo mkipona mmepigwa 3![]()
Man City 1_2 Arsenal.


Tujitokeze tu hospitali tumuongoze sala ya tobaHivi tunatoa rambi rambi au tusubiri mpaka afe![]()




Hivi tunatoa rambi rambi au tusubiri mpaka afe![]()
If wishes were horses.Hii mechi mnaogopa tu,utabiri wangu Man city 1-Arsenal 3
Ni masalia ya threedoors, acha kusumbuka nao kabisa.....Gunners wanajulikana
Mkuu umefufuka baada kusikia Werner na Ziyech wamekuja kuamsha....!hahahahahah



hakuna namna huyu tumuache akufe na dhambi zake tu.
Hahahahahaha utaliona zito hilo kulirudisha ulipolitoa,Mimi nimebeba turubai hapa, ndo mchango wangu.