Hehehehe kabla ya mchezo wa leo record za nyuma kati ya Arsenal na Chelsea zilikuwa zinasemaje vile? With determination anything is possible under the sun
Mkuu rekodi ni "past" kwani ukiangalia rekodi hata Chelsea kwa miaka ya karibuni walikuwa na rekodi nzuri dhidi ya Arsenal lakini angalia nini kimetokea leo? kama sio kosakosa ya Diaby, Walcoltt na Nasri wangeweza kufungwa hata 6-1, Kwa hio tugange yajayo, weakness ya Wenger ilikuwa ni haamini Tactics kama akina Maurinho. Huyu bwana tunamwita haambiliki ama Arsene knows lakini leo umeshuhudia Arsenal wamekuja na game plan mpya, kwa hio inaashiria kuna siri ya revolution behind Arsenal playing tactics, kwa hio just wait and seena nakuhakikishia utaona different game na zile za miaka ya nyuma.
Sijui kwanini huyu kijana katika mechi nyingi huwa anatokea bench. Ni mzuri sana na speed yake huipa homa kubwa ngome yoyote ile katika EPL.
Ile mechi ya mwisho walitufunga lakini matokeo yake wachezaji kibao walimaliza mechi na cramps matokeo yake wengine akina Alex hawajaunga mpaka leoNa mara nyingi chelsea wamekuwa wanashinda arsenal kwa style ya the better side loosing. Most of the time rekodi waliyoano chelsea haiendani na sanaaa ya mchezo inavyokuwa dk 90. Leo Hakukuwa na mambo ya kubahatisha the better side won
Leo hakuonesha sana maujuzi lakini..Ila dogo Samir nae yupo njema sana sijui kwa nn wanambania kule France national team!
Ni leo tu mpira umemkubali..siku nyingine huwa ni kama kuku aliyekatwa kichwa akaachwa atembee..*ni maoni tu* bwe he he he..
Kaka mbona kama unapoteza picha halisi ya mchezo mzima kama ilivyokuwa . Una maana gani unaposema we got lucky na escape route ?
Tumekosa goli ngapi chelsea wamekosa ngapi.
Nilitegemea umalizie kwa neno arsenal deserved to win.
Na mara nyingi chelsea wamekuwa wanashinda arsenal kwa style ya the better side loosing. Most of the time rekodi waliyoano chelsea haiendani na sanaaa ya mchezo inavyokuwa dk 90. Leo Hakukuwa na mambo ya kubahatisha the better side won
Kaka siri ya mechi kubwa mara nyingi ni defense, sasa leo Chelsea walikwenda marikiti kidogo haswa huyu dogo Cole. Zile mistake mbili IMO naona ndio zilizoamua mechi. Ni maoni tu kaka, na wewe una yako.
Kaka Cole unamuita dogo !!!!! Sio marikiti amezeeka na anpenda sana yale mambo yetu. Sijui dirisha la usajili mnafanya nini Squad inazeeka. Nice place kulia pension ni chelsea na kule mancheter city yuko viera.
Alafu niambie chama lako ndio hili la wazee wa darajani ili niwe nakuja kukupongeza siku mambo yakiwa mazuri
Kaka u got it all wrong..chama langu mimi ni Rossoneri..leo nilikuepo tu kumpa support midfilda na kocha wetu wa zamani wa timu yenye mafanikio zaidi ktk sayari hii ( Muulize Gang Chomba atakwambia)
Doug whats wrong with ya?..chill out before u lose ur sanity.Mbaazi akikosa maua husingizia jua khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee hadithi za Pwagu na Pwaguzi hizo au ile kama bado unaikumbuka Sizitaki Mbichi Hizi au Madenge kula nyama mwachie ... ..... ..
... tarehe 5 mtoe draw na Citeh ili mpunguzane speed sasa.
Ushindi mtanu,nitalala usingizi nyororo. Nasikia didier alikuwa ana Malaria iliyomkamata leo jioni,hii je inaukweli ndani yake?
Sijui kwanini huyu kijana katika mechi nyingi huwa anatokea bench. Ni mzuri sana na speed yake huipa homa kubwa ngome yoyote ile katika EPL.
. U got lucky and capitalise on two mistakes ..that was ur escape route.