ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,528
- 7,923
Huyo mtoto ana miaka 18 tu. Ila balaa lake watu wazima wanalala na viatu.Bado point 5 uchomolewe hapo
Kina shefflied. Wanakupumulia kwa point 2
Everton kesho akikubaka
Baada ya wiki 2 unaletwa nafas ya 10
pulisic ndio tumechakazwa kabisa mkuu
Patamu hapo
Next week
Chelsea vs Everton
Nyumbu vs cityzen
Hapa lazima wadondoshe point tena hawa kenge
a huyu hastahili kucheza chelsea huyu ana DNA ya Gunners kabisa,naamini hatamaliza misimu miwili hapo katika kambi ya waleviJana Everton alikuja kunibaka. Ila badala yake kabakwa yeye mpaka akashindwa kunyanyuka.
Huyo mtoto ana miaka 18 tu. Ila balaa lake watu wazima wanalala na viatu. View attachment 1381850
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumepewa shelfield, Kwangu nilitamani tungepewa Nyumbu au The blues tuwanyoe.
kuwa na adabu kwa wakubwa zako dogoKenge ni arsenal.
Sisi King wa London jana tumebaka mtu goal 4 pale darajani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukimpiga Manchester City kwao hyo j5 kutakuwa hakuna kirusi narudia KIRUSI cha kutuzuia top 4 kwangu hii ndo mechi itakayotupa dira sababu bado tuna game na Liverpool,wolves,Leicester,spurs hizi ni game ngumu pia ila tukishinda j5 tutakuwa tumekiua hicho kirusi rasmi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaah... Huyo arsenal hapamfai. Na wala haendi popote.dogo anaju
a huyu hastahili kucheza chelsea huyu ana DNA ya Gunners kabisa,naamini hatamaliza misimu miwili hapo katika kambi ya walevi
kuwa na adabu kwa wakubwa zako dogo
Pulisic ni majeruhi ngoja arudi uone moto wakepulisic ndio tumechakazwa kabisa mkuu
Hamna uwezo wa kumfunga Arteta mlimuotea kipindi mgeni, lakini sahivi sahau.We tema mate chini. The the blues sasa hivi ukiponapona ni kufungwa goal 3.
Jana Lampard asingeingiza wale madogo. Everton alikuwa anakula hata goal 7.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabongo tunavyoiongelea london ka kwetu😂😂😂😂😂😂London ina mkubwa mmoja tu. Naye ni the blues. Huyo ndio mwanaume pekee aliyeko London .
Sent using Jamii Forums mobile app
usikute hata uelekeo ilipo hajui 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Wabongo tunavyoiongelea london ka kwetu😂😂😂😂😂😂
Hamna uwezo wa kumfunga Arteta mlimuotea kipindi mgeni, lakini sahivi sahau.
