Wewe jiandae mkwaju waja......10 zinakuja hizoMashaiki wa arseal wanayofuraha Chelsea kufungwa na buyern kuliko huzuni ya kutolewa kwenye Europa na team ya ugiriki mabaharia
Wewe Cheltako unapata wapi jeuri ya kucomment hapa wakati ushafumuliwa linda na bavarian....na una game ya marudiano usifungue turubai maana misiba inaongozana
SanaLeno atafutiwe mtu wa kumuweka ubaoni mana ana makosa ya kifala fala na yanayoigharimu timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jipange next week tutakuwa wote kule Allianz Arena chama langu la faida Bavarian wakifanya yao.
Hii ilituuaga kifala sana dhidi ya bayern walitufunga 3 kwa 1 emirates tukawagomga 2 kwa 0 kule kwao na wakapita wao mamamamamameeeeeUefa iangalie hii ishu ya away goal... Ishapigiwa sana kelele watu wanapita kizembezembe tu.
sasa na wewe unategemea utachukua kombe la UEFA kirahisi?! we msimu huu uchukui chochote na utaangukia nafasi ya 7 au 8 EPL. unadhani nafasi 4 utabaki nayo mpaka msimu huu uisheHuu msimu timu yenu ni kimeo. Hivyo kuwaza kwamba eti mngefika final mlikuwa mnazingua.
At least mwaka jana mlikuwa na kocha ambaye alishachukua hata hilo kombe mara kadhaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Next week nitakuwa pale jukwaani kwenu hakuna msiba wa kibantu uliokosa mtani.Ila huyo jamaa ana akili kuliko vilaza wengi wa arsenal ambao wanawaza eti wangefika fainali kwa timu takataka kama hiyo waliyonayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo sawa na Metacha Mnata tu. Alipoteza muda baadae akapigwa vs Zesco
Ina-depend sasa hiyo ratiba mnakamilishaje, ila naona mnaenda kuzuia idadi ya magoli tu, maana jamaa wanasifa wale, mkienda hovyo wanawawekea Historia mpyaSasa unatuhesabia bure, tangu lini ngamia akapita kwenye tundu la sindano. Mechi ilishakwisha stanford. Tunaenda kukamilisha ratiba
Sent using Cash Money Wings
Aroon
Hakuna shabiki wa mpira duniani muoga kama Aroon, yaani akifungwa tuu haonekani hapa anajifungia chumbani analia tuu.
Ukifungwa kuwa mkakavu jitokeze hapa tujue kwamba upo hai hujajinyonga
Sent using Cash Money Wings
Nakubaliana na wewe 100%....Bellerin kashuka kiwango sana... Kwa upande wa defence jana ndo kaperform vibaya kuliko wote.Raul atuongezee wachezaji kama wanne, beki mmoja World class wa kupartner na Mustafi pale kwenye backline yetu, Pia lacazette namkubali sana huyu jamaa najua kweli kuna circumstances anapitia ila asiuzwe, Auba naona yupo tiyari kufia Arsenal kama Ozil, huyu sio snake kama V.persie, kama angekuwa wakuondoka leo Auba angeanza maringo kama ya Sanchez, ila muhimu watuongezee pale mbele wachezaji wazuri wakuongeza nguvu kwa hawa jamaa,kuna Wachezaji wengi tu kama vile Jack Grealish washaonesha mapenzi yao na Gunners na wapo peak sana, all in all confidence ya pepe imerudi, shida yake ni kuwa Clinical tu infront of the goal, Hii Arsenal naipenda na inahitaji marekebisho kidogo tu wala siyo major overhaul kama wanavyosema wengine.Bellerin ajiangalie sana, anaweza kuishia kwenye mitindo kama uchezaji wa Soares utadeliver hapo Arsenal, to be honest Belle is our weak link toka karudi injury, ni bora Maitland niles.
#coyg
Auba nimeona kapost kuonesha mapenzi yake kwa hii timu,Afu mkuu unaongeleaje Auba kukosa lile goli jana,mimi paka sahivi naliwaza natamani arudie kushoot tenaHuko page za Arsenal watu wamevurugwa sana ,sijui kama Leo kuna mchezaji wa Arsenal atapost chochote kile naona wote kimya kimetanda,wametuangusha sana sana watu hatulali tunaangalia game huku tunajiamini tunashinda kwa mechi ya jana sikutegemea kama tutafungwa sikutegemea nlikuwa nasubiri round ya 16 nacheza na nani tena nlikuwa namtaka Manchester United ila kilichotokea namuachia Mungu na nlikuwa nimejipa 80%ya kubeba Europa mpaka sasa siamini kama tulicheza jana natamani niamke upya nione kuna game Emirates ya marudiano
Sent using Jamii Forums mobile app
Next week nitakuwa pale jukwaani kwenu hakuna msiba wa kibantu uliokosa mtani.
Jipange kisaikolojia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nmesema ntakuchukua kombe uefa.sasa na wewe unategemea utachukua kombe la UEFA kirahisi?! we msimu huu uchukui chochote na utaangukia nafasi ya 7 au 8 EPL. unadhani nafasi 4 utabaki nayo mpaka msimu huu uishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Auba nimeona kapost kuonesha mapenzi yake kwa hii timu,Afu mkuu unaongeleaje Auba kukosa lile goli jana,mimi paka sahivi naliwaza natamani arudie kushoot tena
Vipi wewe uliyefumuliwa marinda na Olympiacos?Wewe Cheltako unapata wapi jeuri ya kucomment hapa wakati ushafumuliwa linda na bavarian....na una game ya marudiano usifungue turubai maana misiba inaongozana
Sent using Jamii Forums mobile app