Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Natarajia mpira mwingi
Burudani ya kutosha
All the best my Team
COYG
Burudani ya kutosha
All the best my Team
COYG
A very strong squad!!Arsenal side:
Leno; Bellerin, Mustafi, Luiz, Saka; Ceballos, Xhaka; Aubameyang, Ozil, Pepe; Lacazette.
#AFC
Kweli dunia inaenda kasi sana, leo kikosi chetu kina Mustafi ila hatuna wasiwasi kabisa.A very strong squad!!
Kwa kikosi hiki sina budi nitizame mpira, ila huku nilipo inawezekana nikashindwa kutizama kwa tv, msaada pekee ni kustream, sasa hesgoal.com kwenye simu yangu inasumbua, natumia ka’iphone sasa mwenye link ya kutizama boli anipasie hapa, ama sijui nijaribu kupakua google chrome italeta majibu mazuri nikatizama chama.
Umefanikiwa auGoogle chrome mambo ni mswano kabisa
Hujaelewa nini mkuu