Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

KUTOKA France Football

Wachezaji wa zamani wa Arsenal wameishauri bodi ya Arsenal imchukue Said Benrahma kutoka Brentford mwenye umri wa miaka 24 kutokana na kiwango kizuri anachoonesha

Anakadiriwa kuwa na Thaman ya £15m maana anaenda kubakiza mwaka mmoja katika mkataba wake

According to @francefootball, Saïd Benrahma's performances for Brentford have ‘caught the eye’ of ‘many Arsenal former glories’, meaning ex-players.

Those ex-players have allegedly, ‘whispered his name to the club’s board’, seemingly intent on getting him a move to the Emirates.
IMG_20200224_214852.jpeg
 
Not optimistic at all..
MUANDISHI JUANMA WA GAZETI LA MARCA AMBALO NI RELIABLE KWA HABARI ZA JIJI LA MADRIDI KATHIBITISHA NI KWELI ARSENAL WAPO SERIOUS KWA PARTEY


Arsenal 'love' Thomas Partey and have 'come in for him'. [@juanma_rguez]

"Thomas's priority is to remain at Atlético, he has a contract until 2023, but Thomas Partey's agents have already been in London to listen to Arsenal'
 
Natamani hii post niiweke, tatizo watu tunajikuta wajuaji sana
Kumbuka neno lake sio sheria,inaweza ikawa na inaweza isiwe pia....inategemeana na kiwango chake na uhitajikaji wake ktk kikosi....

Maneno hayo inaweza hata bodi ikayasema pia na hilo jambo lisitokee,nani asiyejua kuwa Granit angekuwa Hertha Berlin leo hii???mpaka ikawa inaongelewa swap ya Zakaria wa Borrusia Mongledbbach....na watu wakapanda dau?
Ni kawaida tu hiyo bro,isifikie kipindi tunaviziana ili tuumbuane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ARSENAL TO ACTIVATE RELEASE CLAUSE OF HIGHLY RATED GHANIAN MIDFIELDER THIS SUMMER

Arsenal are ready to activate the €50m (£42million) release clause of Atletico Madrid midfielder Thomas Partey when the summer window opens, according to Libertad Digital.

The Ghana international has been consistently linked with a move from the Spanish capital to the Emirates Stadium, including during the recent January transfer window.

However, Atletico are not keen on losing their influential midfielder and are keen to secure him to new terms - but the fact that his release clause is a relatively low figure of £42m means there are some doubts.

For his part though, Partey is also keen to stay at the club, saying: "Atletico is my home, the club that gave everything, where I want to be. My agent is talking to the club about the renovation. I hope everything goes well."
 
Arteta mtu anayemweka,Ceballos anaonekana anafanya nn uwanjani tofauti na Matteo aliyekuwa na utoto mwingi... Hata ukipita katika kurasa za kijamii za asenali huoni watu wakilalamikia hili... Arteta ndiye anayejua ni mechi ipi aanze Torreira au ipi aanze Ceballos.
pia arteta anampanga xhaka kama DM, toirerra anapigwa benchi....mfano ni mechi mbili zilizopita!

hapo unajitetea je?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
| #AFC

Arsenal alongside with Chelsea are ‘interested’ in 19 y/o Feyenoord midfielder, Orkun Kökcü. Arsenal have followed the player “for some time”. Kökcü wants to stay for another year so Arsenal will have to wait. [voetball international] /
source said to be reliable .
IMG_20200226_194943.jpeg
 
Arteta and Lacazette are here.

Arteta on Kolasianc: "He is seeing a specialist today. We will know more this afternoon. We are not very positive about it."

He adds he 'doesn't know' if Kolasinac will play again this season.

IMG_20200226_195855.jpeg
 
Lacazette when asked if he has an agreement to leave in the summer if Arsenal don't qualify for the Champions League.

"I didn’t know about this."

He adds: "I have a contract with the club, so there is no point for me to leave if everyone is happy."
 
Back
Top Bottom