Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Raul akipuuza kumsajili Ceballos atakuwa katusaliti Gunners, huyu mtu msimu wake wa kwanza tu lakini ni hatari na sioni haja ya kumsajili Soler, na kwanini tusimsajili Ceballos ??? Raul Raul Raul please make it happen
Tatizo ni Real Madrid... Ukiwaweza hao basi njia ni nyeupe.
 
Yaitwa defensive strategy kwenye game management.

Kama waelekea kushinda mechi unakuwa unahakikisha unamudu mchezo.

Arsenal walikuwa hawana hivyo vitu viwili chini ya Unai Emery.
Hivi unai shida ilikuwa ni nini hasa, nikiangalia Tactical aspect kwa Arteta inaniaminisha ubovu wa Emery, lakini kwa CV yake sitaki kuamini kwamba alikuwa kocha mbovu, what went wrong for Unai at Arsenal?
 
#Gooners!

ilikua mechi nzuri yenye amsha amsha, tumecheza vizuri kiasi na nyota wa mchezo kwa leo binafsi nampa Leno na Mustafi.
Walifanya vizuri sana kila mmoja kwa nafasi yake japo kua Leno alifanya uzembe goli la pili lakini alifanya saves nyingi zilizo tuweka mchezoni.

Arteta pia alikua spot on kwenye kufanya sub, alifanya defensive substitutions ili kukabiliana na hatari iliyokua ikiletwa na washambuliaji wa Everton.
Na kuhakikisha tunamaliza mechi kwa ushindi.

Mwanzo tulikua tunasumbuliwa na game management kuanzia kwenye kulinda ushindi tukiongoza na kuhakikisha tunapata point tatu.

Muda mwingine haijalishi umezipataje hizo point tatu, na kiukweli point za leo zina umuhimu sana kwa sisi kuisaka top 5.

Tatizo nililoliona leo ni udhaifu kwenye set pieces, magoli yote tuliofungwa na kukoswa koswa yametokana na set pieces.
Nadhani Mari akipata match fitness tutatatua hili suala.

Pia Hector anaonekana bado hana match fitness na alionewa sana na Richarlison, nadhani kadri Muda unavyo kwenda atakua sawa.

Lacazatte hajacheza ila nadhani kuna umuhimu wa yeye kuanza match ijayo, presence yake ndani ya uwanja huleta faida nyingi hasa hasa kwenye zile link up play.
Hata hivyo Nketiah kajitahidi na nimeelewa kocha anajaribu kufanya kitu gani.

Timu ilionyesha uchovu na ni kawaida ikiwa umecheza michezo 3 ndani ya siku 7...Nategemea hali itakua tofauti mechi ijayo.
Nawapongeza pia kwakua kwenye mechi tatu hizi wachezaji wamejituma na kushinda mechi zote.

Alama chini ya 10 wachezaji wote nawapa 7/10....ila kwa Leno na Mustafi ni 7.5.

tapatalk_1582484960012.jpeg
 
Hivi unai shida ilikuwa ni nini hasa, nikiangalia Tactical aspect kwa Arteta inaniaminisha ubovu wa Emery, lakini kwa CV yake sitaki kuamini kwamba alikuwa kocha mbovu, what went wrong for Unai at Arsenal?
Unai ni kocha mbovu kuwahi kumuona duniani for me

Alikuwa ana muweka Matteo na willock ndio backbone ya timu KWENYE kiungo

Nje anawaacha Ozil , Cebayos & lt11

Alikuwa na matatizo na wachezaji sana

Ukija kwenyw tactical ndio alikuwa Bomu

Kila mechi anakuja na formation mpya

Alikuwa pia hajui kusoma character za wachezaji kujua wana fit vipi kwenye mfumo

Mfano Arteta pia ua lazima Xhaka ,luiz wacheze hao ndio wanatengeneza structure yake

Ndio maana pia Aliomba aletewe LCB ana maana yake kiufundi

Sasa unai unaweza kujiuliza Anamkataaje Lt11 mbele ya Gunduz ,si wehu huo

Bado Xhaka akawa anampanga DM halafu CM gunduz

AM willock ,
 
Ila Xahka naye kwa kadi hajambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unai shida ilikuwa ni nini hasa, nikiangalia Tactical aspect kwa Arteta inaniaminisha ubovu wa Emery, lakini kwa CV yake sitaki kuamini kwamba alikuwa kocha mbovu, what went wrong for Unai at Arsenal?

I. Mawasiliano mazuri ili to win hearts and mind.

2. Kuwa imara kimsimamo kwamba hata ukimwambia Lacazette anakaa bench kwa tactical reasons au kinaeleweka.

3. Mazoezi na plan za mafunzo hazikuwa sawa na watu kama Ozil wakaanza ubishi na ikawa ni personal.

Ukishindwa mwisho wake inakuwa wewe kocha ndie loser.
 
Hivi unai shida ilikuwa ni nini hasa, nikiangalia Tactical aspect kwa Arteta inaniaminisha ubovu wa Emery, lakini kwa CV yake sitaki kuamini kwamba alikuwa kocha mbovu, what went wrong for Unai at Arsenal?

Basi tu arsenal tulikimbilia kwenye CV sijui tamaa kumuona kafanya vizuri michuano ya ueropa! Kifupi mie sikuwa nikitamani unai aje arsenal! Ukitizama sevilla ya emery haikuwa timu nzuri katika ligi, mara zote alikuwa anatoka nje ya top 4, timu haikuwa na muendelezo wa ushindi! Kuchukua ligi unahitaji uwe bora karibia msimu mzima na sio game moja moja za mtoano kama kwenye michuano ya uefa!

Unai alichotufanyia arsenal ni kile alichokifanya sevilla kasoro kubeba ueropa tu ambayo nayo ilikuwa ni chupuchupu!

Kifupi unai ni kocha wa timu za kati sio top clubs, labda abadilike huko mbeleni. Aliyoyafanya kwa arsenal ingekuwa everton wangemvumilia na kumpa msimu mwingine.
 
Raul akipuuza kumsajili Ceballos atakuwa katusaliti Gunners, huyu mtu msimu wake wa kwanza tu lakini ni hatari na sioni haja ya kumsajili Soler, na kwanini tusimsajili Ceballos ??? Raul Raul Raul please make it happen

Ngoja nikwambie kitu, aki-shine akiwa kwetu itawafanya wanaommliki wamtamani
 
Arsenal’s next six fixtures:

Olympiakos H
Portsmouth A
West Ham H
Europa League RO16 1st leg TBC
Brighton A
Europa League RO16 2nd leg TBC
 
Shkodran Mustafi vs Everton

7 clearances
2 interceptions
3 tackles
84.3 % pass accuracy
4 ground duels won
4 aerial duels won
Dribbled past 0 times

A clear rejuvenation of the CB under Arteta. One of the better players today
 
Baada ya Mech 5 kuna mtu tunamchomoa namba 4-5

*Chelsea next*
1.Bourn a
2. Ever h
3. Villa a
4. City h
5. West Ham a

*Man U next*
1. Everton a
2. City h
3. Spurs a
4. Sheffield h
5. Brighton a

*Spurs next*
1. Woves h
2. Burnley a
3. Man u h
4. West Ham h
5. Sheffield a

*Arsenal next*
1. City a
2. West Ham h
3. Brighton a
4. Soton a
5. Norwich h

*City next*
1. Arsenal h
2. Man u a
3. Burnley h
4. Chelsea a
5. Liver h
 
Back
Top Bottom