Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nilikuwa na wapenzi wa Man u. Dakika ya pili tunafungwa Goal kaunta nzima ilinishambulia kwa maneno ya kejeli. Baada ya mpira kwisha furaha yangu iliwafanya baadhi yao wakimbie. There is a time Ball possession ilikuwa Goooner 72% kwa 28%. Our future seems to be bright under Arteta
Haha presha noma aisee hadi hamu ya kula na kunywa inapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Official: Pierre-Emerick Aubameyang has been awarded Man of the Match for his performance against Everton this evening. [Sky] #afc
IMG_20200223_225417.jpeg
IMG-20200223-WA0058.jpeg
 
Nilikuwa na wapenzi wa Man u. Dakika ya pili tunafungwa Goal kaunta nzima ilinishambulia kwa maneno ya kejeli. Baada ya mpira kwisha furaha yangu iliwafanya baadhi yao wakimbie. There is a time Ball possession ilikuwa Goooner 72% kwa 28%. Our future seems to be bright under Arteta

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajiandae wao wana Everton ,wiki ijayo

Everton mipira ya juu ni hatari sana

Leo mustafi kafanya clearlence kibao
 
Most assists in all comps by a Premier League player:

De Bruyne: 17
Alexander-Arnold 12
Mahrez: 12
Firmino: 11
SAKA: 10

Bukayo has an assist every 166 minutes.
tapatalk_1582484976026.jpeg
 
Pierre-Emerick Aubameyang on Leno:

“We’re always happy to have him. He saved us a couple of times at the right moment so we’re really happy to have him. We’re proud of him. We know we can count on him, that’s always good for us. He gives us more energy to push & give everything.”
IMG-20200223-WA0058.jpeg
 
Nilikuwa na wapenzi wa Man u. Dakika ya pili tunafungwa Goal kaunta nzima ilinishambulia kwa maneno ya kejeli. Baada ya mpira kwisha furaha yangu iliwafanya baadhi yao wakimbie. There is a time Ball possession ilikuwa Goooner 72% kwa 28%. Our future seems to be bright under Arteta

Sent using Jamii Forums mobile app
Namuelewa sana legend... Sasa naweza acha kazi zangu nikaenda kucheki gemu na nisijutie... Kipindi cha nyuma nilikuwa naenda kucheki sababu ni timu yangu inacheza na baadhi ya mechi sicheki naweka notification on tu kinachotokea wananijuza...Arteta kuna kitu kizuri anakionyesha.
 
Dogo Leo hakuwa sawa

Ndio maana ARTETA alimpumzisha ,kwa umri wake alihitaji kupumzika , kuumia kwa Kola kulifanya Aingie

Katoka kucheza Alhamis full time , Timu imerud UK ijumaa ,

Jumapili mech tena , Leo hakuwa sawa na siku hazifanani

Shukrani kwa kutoa super assist kwa Mwanangu Eddie Nketiah

Bukayo Saka is the first teenager to reach double figures for assists in a single season with Arsenal since Cesc Fabregas in 2006-07.
IMG_20200223_231214.jpeg
 
Absolutely...am sure tunaweza kucheza UEFA tukikaza buti. Nafasi ya tano iko wazi sana....
Namuelewa sana legend... Sasa naweza acha kazi zangu nikaenda kucheki gemu na nisijutie... Kipindi cha nyuma nilikuwa naenda kucheki sababu ni timu yangu inacheza na baadhi ya mechi sicheki naweka notification on tu kinachotokea wananijuza...Arteta kuna kitu kizuri anakionyesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raul akipuuza kumsajili Ceballos atakuwa katusaliti Gunners, huyu mtu msimu wake wa kwanza tu lakini ni hatari na sioni haja ya kumsajili Soler, na kwanini tusimsajili Ceballos ??? Raul Raul Raul please make it happen
 
Arteta dk 5 za mwisho alibadili mfumo ,baada ya kuingia Matteo ,nakufanya tucheze viungo watatu

Alitaka kudefence

Yaitwa defensive strategy kwenye game management.

Kama waelekea kushinda mechi unakuwa unahakikisha unamudu mchezo.

Arsenal walikuwa hawana hivyo vitu viwili chini ya Unai Emery.
 
Ukiwa unajua mpira kama Ceballos inakuwa raha sana, unaweka hairstyle vile unavyojiskia, BTW Gunduz akipandishwa mbele atakuwa bora kuliko, nimeona leo anapress vizuri sana akicheza eneo la Ozil
 
Back
Top Bottom