Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Duh kweli? Sijaipata hiyo ,
Duh kweli? Sijaipata hiyo ,
Hiyo game imeahirishwa had mwez wa 3 au wanne huko
pia arteta anampanga xhaka kama DM, toirerra anapigwa benchi....mfano ni mechi mbili zilizopita!Unai ni kocha mbovu kuwahi kumuona duniani for me
Alikuwa ana muweka Matteo na willock ndio backbone ya timu KWENYE kiungo
Nje anawaacha Ozil , Cebayos & lt11
Alikuwa na matatizo na wachezaji sana
Ukija kwenyw tactical ndio alikuwa Bomu
Kila mechi anakuja na formation mpya
Alikuwa pia hajui kusoma character za wachezaji kujua wana fit vipi kwenye mfumo
Mfano Arteta pia ua lazima Xhaka ,luiz wacheze hao ndio wanatengeneza structure yake
Ndio maana pia Aliomba aletewe LCB ana maana yake kiufundi
Sasa unai unaweza kujiuliza Anamkataaje Lt11 mbele ya Gunduz ,si wehu huo
Bado Xhaka akawa anampanga DM halafu CM gunduz
AM willock ,
Hivi Manchester city tutacheza nao lini?Arsenal’s next six fixtures:
Olympiakos H
Portsmouth A
West Ham H
Europa League RO16 1st leg TBC
Brighton A
Europa League RO16 2nd leg TBC
Mwez wa 3 au 4
Angalia hapa , Xhaka hachez DM kwa Artetapia arteta anampanga xhaka kama DM, toirerra anapigwa benchi....mfano ni mechi mbili zilizopita!
hapo unajitetea je?
Sent using Jamii Forums mobile app














Auba ni hatari ukizingatia magoli mengi alifunga wakati team iko hovyo sana. Kwa form ya sasa ya team plus support anayopata toka kwa team mates, kama atakuwa injury free atahit 30+ goals and so far I see no one to beat him for the golden boot.Jamaa alikuwa na redcard amemiss game 3 amerudi amewakuta wanamsubiri...
Tuna kila sababu ya kuendelea kusuka eneo letu la ulinzi...
View attachment 1367891
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina cha kuongeza hapa mkuu,Angalia hapa , Xhaka hachez DM kwa Arteta
View attachment 1367903
Role ya Xhaka ni kupiga Range pass kwa Saka tunaposhambulia , pia kumsaidia LB Ku cover nafas yake anapokuwa amepanda .
Siku zote anacheza hivo chini ya Arteta
DM mech mbili zote anacheza Cebayos
Ila anacheza kama Register
yuko sharp anajua kutandaza pass jana kafanya interception 4 nyingi kuliko yeyote akiwa na pass success 84% akizidiwa na xhaka kwa 93% .
Toreira kupigwa bench , haina shida je nan anayempiga bench
Mechi mbili mfululizo za EPL TORREIRA kaanzia benchi hakuna anayelalamika humu na kila siku tulikua tunasema humu pale Arsenal hakuna defensive midfielder kama TORREIRA tukasahau njia njia nyingine ya kudefend ni kuhold mipira na uwepo wa CEBALLOS tayari yeye na TORREIRA ni kama copy and paste ,Kina dully na wengine watakuja kulalamika humu wakiona Unawaacha nje kina LT11 ,Cebayos halafu unawapanga kina gunduz na willock
Nasemaje tena Arsenal sio kwamba haitafungwa wala haitatoa draw yote yatatokea.
ila sisi tunataka mpira mzuri sio akae Guendouzi na Willock kati watupoteze halafu tusingizie bado hawajakua,
Huo ujinga ni wa Unai emery , Unamuweka Matteo na Willock kama muhimili ya kiungo ,halafu unawaacha nje LT11, ceballos na Ozil na kuaminisha watu ujinga
Tuwaache waliokua na Wenye uwezo CEBAYOS na LUCAS waisaidie timu
Twende ukachukue kiatu kingine View attachment 1367715
Hpnajamani inamana niko peke yangu humundani shabiki wa Arsenal?
siasa kila wakati inaboa jama
![]()
Anatufaa huyo m2 kaziArsenal are aiming to sign Thomas Partey for €50m in the summer should the midfielder choose not to renew his current deal with Atletico Madrid [@Dvinuesa] #afc
Mtu wa kazi huyu jamaa, tutakua na relief kubwa sana kwenye midfield yetu.
Jana angeanza willock na Guendouzi kama wangeanza humu Aaron angepotea wiki nzima hata Mimi ningepotea kwa aibu kubwa sana yaani ingekuwa aibu ya 2020Sina cha kuongeza hapa mkuu,
Ishu sio LT11 kukaa bench,
Je anakaa bench kwa nani? Hapo umeua kila kitu.....
Dani yupo sawa na kila siku tulikuwa tunalilia apangwe na hata alipopangwa hajatuanguasha....na hilo ndilo tamanio na hitaji letu wana Gunners,
Suala la kumweka LT11 nje alafu kina Gue wanaanza wanasindikiza maadui katika goli letu tunapigiwa mishuti kibao sio sawa kwakweli.....au yule Wilock anaengukaanguka bila sababu kisha unajitetea kuwa yupo katika growth stage hahahaaaaaaa...
Panga watu kweli ili kama kufa tufe kiume ...eti unapigwa na mapanga mpaka unakufa wakati una bastola mfukoni dadadadek...
NB:Hii unbeaten run mpaka lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa kweli aiseeJana angeanza willock na Guendouzi kama wangeanza humu Aaron angepotea wiki nzima hata Mimi ningepotea kwa aibu kubwa sana yaani ingekuwa aibu ya 2020
Sent using Jamii Forums mobile app