Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wooyooo point 6 hizo ila Everton imebadilika sana leo tumejaribiwa mara 17 hali ilikuwa mbaya sana ila kikubwa point 3 na Arteta anatakiwa aangalie suala la pumzi kwa wachezaji wetu suala hili linajirudia rudia sana dk 20 za mwisho huwa tunachoka

Manchester United ijiandae point 3 hawatapata chini ya hawa watoto wa Everton

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wooyooo point 6 hizo ila Everton imebadilika sana leo tumejaribiwa mara 17 hali ilikuwa mbaya sana ila kikubwa point 3 na Arteta anatakiwa aangalie suala la pumzi kwa wachezaji wetu suala hili linajirudia rudia sana dk 20 za mwisho huwa tunachoka

Manchester United ijiandae point 3 hawatapata chini ya hawa watoto wa Everton

Sent using Jamii Forums mobile app
Arteta dk 5 za mwisho alibadili mfumo ,baada ya kuingia Matteo ,nakufanya tucheze viungo watatu

Alitaka kudefence
 
Good game gunners! Ceballos amenifurahisha sana, namba nane bora kabisa, tunamhitaji na hana sababu za kurudi Bernabeu. Mustafi ame-improve kwa kiwango kizuri sana, he looks like a defender who was once at Valencia. Tactical approach ya Arteta naona ni nzuri, anaweza hata kumshinda babu akiendelea hivi.

Let's keep our heads high!!
 
Bukayo Saka has made a string of impressive displays at the start of his Arsenal career.


Saka ana miaka 18

Mkataba wake ni mpaka 2021

Nafasi anayocheza ni kwa emergency tu, kwani yeye ni mshambuliaji wa pembeni na kwa sasa anacheza kuziba nafasi ya Kieran Tierney bado yuko bench.

Mkataba wake kwa sasa ni pauni 3,000 kwa wiki alosaini mwezi September 2018

Hivyo wakala wake anapigania hadi 50,000 kwa wiki kama kianzio.
Paundi elf 3 seriously??!
 
Good night watu wa Mungu.
IMG_20200223_202054.jpeg
IMG_20200223_202148.jpeg
IMG_20200223_202253.jpeg
IMG_20200223_214243.jpeg
_20200223_215314.JPG
_20200223_215333.JPG
_20200223_215349.JPG
_20200223_215424.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila tension iliyokuwepo dakika kama kumi za mwisho ilifanya nihisi kinywaji changu wameki adulterate yaani kilikosa ladha kabisa... At least mpira ulivyoisha nikaanza kupata ladha.
 
After scoring just 8 goals in Arteta's first 7 Premier league games, Arsenal have scored 7 goals in the last 2 league games. The introduction of Ceballos in midfield might make us more vulnerable defensively, but definitely helps when it comes to moving the ball forward quicker.
tapatalk_1582484966676.jpeg
 
Back
Top Bottom