computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Nimeona maoni yenu wana ARSENAL wenzangu kweli kabisa nakubaliana na maneno yenu siku hizi hatuna uwezo wa kufunga hata goli 3 mechi 1 imekuwa nadra sana sana yaani na ukikuta timu ikatuotea goli 2 mtihani wa kurudisha unakuwa mkubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app




-
Team 