Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu nimemfatilia kiaina naona anaanza mdogo mdogo. Ameacha kumponda pepe ameamia kwa Ozil.
Kama unasema Mimi ni milango mitatu sawa siwezi kubishana ila basi tufanye OZIL asiuzwe tumuuze Pepe basi maana unasema nlikuwa namponda pepe nimehamia kwa Ozil basi tumuache OZIL aendelee kuwa namba 10 next season maana ukitoa maoni yako unaonekana milango mitatu haya tufanye limeisha hilo ila jamaa una akili sana ukajuaje Mimi na milango mitatu ni mtu mmoja?kweli una akili sana Big up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaron Arsenal nimeikuta kwenye page za Arsenal za mashabiki inaweza kuwa habari nzuri sana kwetu tuchangamkie tenda hii isitupite maana naona bayern Munich nae na Barcelona wameanza kuingilia hili dili
20200213_093419.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lacazette tangu aje Arsenal hajawahi fikia hata nusu ya kiwango alichokuwa nacho Lyon......soka la England limemkataa,huyu angerudishwa League1

Sent using Jamii Forums mobile app
Dully Jr unajua laca anafungaga magoli magumu sana ambayo hautegemei kama atafunga ila weakness yake ni kutofunga magoli ambayo unaona hili ni goli na anakosa licha hafungi sana siku hizi naona angepewa last chance apambane au atafute mshauri wa kuongea nae anaweza akabadilika licha kwa sasa anatuudhi sana kwa kutofunga magoli na pia dunia kwa sasa washambuliaji wa maana ni wachache sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dully Jr unajua laca anafungaga magoli magumu sana ambayo hautegemei kama atafunga ila weakness yake ni kutofunga magoli ambayo unaona hili ni goli na anakosa licha hafungi sana siku hizi naona angepewa last chance apambane au atafute mshauri wa kuongea nae anaweza akabadilika licha kwa sasa anatuudhi sana kwa kutofunga magoli na pia dunia kwa sasa washambuliaji wa maana ni wachache sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Yes Brother.....Jamaa magoli anayofunga ni magumu magumu sana lakini magoli anayokosa sasa dah
 
Brazil national team coordinator Juninho Paulista was sent by the Brazil manager Tite to London to meet Gabriel Martinelli. Tite wants Martinelli in the first-team. [@JornalOGlobo]
 
David Luiz anasema haoni shida kubadilishwa nafasi ya kucheza uwanjani ili kutoa nafasi kwa Pablo Mari aweze kucheza LCB beki wa Kati anayetumia mguu wa kushoto...Kwan ana uzoefu na matukio ya namna hiyo.nahisi Luiz yupo tayari kucheza namba 4
 
Dau lake arsenal hawaliwezi, kwa ubahili wa timu binafsi sidhani hata kidogo kama tutaweza kumleta huyu dogo Emirates.
Mbona Summer Arsenal walipeleka mezani £60m ikakataliwa , maana clause yake ilikuwa £100m

Hivo Arsenal wakasubiri mkataba wake uzidi kupungua , na inaonesha walishampanga ,ndio maana Amegoma kuongeza mkataba


Hadi summer dau lake litakuwa kati ya £45-50m
 
Back
Top Bottom