Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Licha shafii kakosea kidogo hapo ila kwa TAKWIMU hizi kila siku tutakuwa tunalia angalia namba 10 yetu hafungi wala hana assist karibia mechi zote hizo kazi yake kubishana na marefarii tu nasema huyu akiondoka tukampata hata mtu kama Grealish na front three yetu kila mechi tutakuwa tunapata si chini ya goli 3 huyu kabaki historia na ndiye anayetuharibia kutofunga magoli washambuliaji hawapati mipira mara kwa mara ni mpaka saka au kolasinac watoe assist ndo tufunge
20200206_222928.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arsenal trying to convince Arsene Wenger to return to club

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hili kama lipo kweli na likifanikiwa tutakuwa tunapiga steps backward.

Mtu ambaye ametumia hapo zaidi ya miaka 20 na umri umemtupa mkono anarudi kuleta nini kipya? I have a lot of respect for him, but his time was up. Akirudi hapo kwa nafasi yoyote ile atageuka kikwazo kwa Manager yeyote yule na tutaanza kuwa club isiyotakiwa na makocha sababu ya uwepo wa falme mbili tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
According to reports:

-Mikel Arteta may sell Aubameyang, Lacazette & Özil in the summer.

-The priorities regarding incoming players are a number 8, a centre half & a number 10.

-Work has already started behind the scenes.

-He wants to complete our business before Euro 2020.
Big summer ahead,ila nawaza Aubameyang na laca without replacement, kwa maana hiyo Martinelli ndio striker au Nketiah??
 
Huu msimu tuangalie tu kandanda safi la bwana Arteta lakini si kutegemea kuingia top 4 ila kule kwenye Europa kule nahisi tunaweza kutoka na chochote kitu.
_20200208_083621.JPG
_20200208_083531.JPG
_20200208_083512.JPG
_20200208_083456.JPG
_20200208_083605.JPG
_20200208_083442.JPG
_20200208_083548.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Everton ndani ya miezi 2 alikuwa wa 18 Leo ni wa 7 na katuacha point 5 na wachezaji aliowakuta ni wale wale next game na Newcastle tusipopata point 3 ntaanza kuwa na shaka na uwezo wa kocha sasa maana tunalaumu sana wachezaji wetu sana licha kweli ni mzigo wengineo ila ARTETA next game lazima tushinde na hakuna sare yaani point 3 na ARTETA hatumsemi sana sababu ni damu yetu wa Arsenal ila nae lazima tumtazame kwa jicho la 3 kama tutashindwa kupata point 3 Tarehe 16

Hatuwezi kumlaumu kocha hata kidogo, haiwezekani Emery , Fred na Arteta wote wafeli halafu tuseme kocha ndio tatizo, mimi naanza kuona shida ni wachezaji tu, mwanzo tatizo lilikuwa nyuma, Arteta kasolve hilo tatizo leo akicheza Sokratis, Mustafi au luiz wote wanafanya poa tu, haturuhusu magoli mepesi kama mwanzo, Eti ajabu tatizo limeamia mbele watu wamekuwa mizigo kufunga na kuassist hawawezi tena.
 
Huenda tatizo likawa kocha, yaani kocha ameweza kutengeneza defensive unit, lakini kashindwa kutengeneza attacking unit. Kipindi cha Wenger timu ilikuwa inafungika kirahisi lakini tulikuwa tunatupia sana. Leo Arteta kaweza kutengeneza ulinzi na ushambuliaji umekuwa tatizo.
 
Kule mbele kuna utoto

Hata Leno kasema

Back line imetulia kabisa ,

Kule mbele Laca ,ozil wamepotea sana

Pepe ndio huyo ligi haijamkaa sawa

Arteta kaz yake kaifanya vzr ,build up ,inaonekana ,

Mech na Burney , magoli mawili tumekosa clear kabisa

Kama anavyosema willy , tatizo limehamia mbele

Tunahitaji overhaul
 
Huenda tatizo likawa kocha, yaani kocha ameweza kutengeneza defensive unit, lakini kashindwa kutengeneza attacking unit. Kipindi cha Wenger timu ilikuwa inafungika kirahisi lakini tulikuwa tunatupia sana. Leo Arteta kaweza kutengeneza ulinzi na ushambuliaji umekuwa tatizo.
Ukiangalia kwenye ushambuliaji , Tunamtegemea Auba tu.

Laca hayupo form kabisa kwenye swala la kufunga

Pepe anasuasua

Ozil umri unamtupa mkono

Ndio maana Arteta anataka kufanya overhaul kwenye attacking , ni kama wamesharidhika kule mbele

Nafas zinatengenezwa ila hazitumiwi ipasavyo

Kwenye attacking , Arteta afanyie kazi zaid
 
Hatuwezi kumlaumu kocha hata kidogo, haiwezekani Emery , Fred na Arteta wote wafeli halafu tuseme kocha ndio tatizo, mimi naanza kuona shida ni wachezaji tu, mwanzo tatizo lilikuwa nyuma, Arteta kasolve hilo tatizo leo akicheza Sokratis, Mustafi au luiz wote wanafanya poa tu, haturuhusu magoli mepesi kama mwanzo, Eti ajabu tatizo limeamia mbele watu wamekuwa mizigo kufunga na kuassist hawawezi tena.
Nakubaliana na wewe kabisa
 
Huenda tatizo likawa kocha, yaani kocha ameweza kutengeneza defensive unit, lakini kashindwa kutengeneza attacking unit. Kipindi cha Wenger timu ilikuwa inafungika kirahisi lakini tulikuwa tunatupia sana. Leo Arteta kaweza kutengeneza ulinzi na ushambuliaji umekuwa tatizo.

Building team ni progress thing, huwezi ku-achieve maeneo yote kwa wakati mmoja.

Hatua tu ya kupunguza magoli kwa mechi chache alizo coach inakuonesha kwamba kuna positive progress.

Ndiyo maana kuna hizo tetesi za kina Laca, Auba, Ozil kuuzwa kwa sababu inaonekana hawawezi kuucheza mfumo wa coach.

Mpeni summer moja ya kufanya usajili, maeneo yataongezeka.
 
Hilo nalielewa kiongozi, binafsi wala sina tatizo na Arteta coz najua hakuna kazi ya mara moja. Ni process!!
 
Ukiangalia kwenye ushambuliaji , Tunamtegemea Auba tu.

Laca hayupo form kabisa kwenye swala la kufunga

Pepe anasuasua

Ozil umri unamtupa mkono

Ndio maana Arteta anataka kufanya overhaul kwenye attacking , ni kama wamesharidhika kule mbele

Nafas zinatengenezwa ila hazitumiwi ipasavyo

Kwenye attacking , Arteta afanyie kazi zaid

Upo sahihi sana, kule mbele kuna shia kwa sasa. Lacca alikuwa fighter sana, sijui nini kimemkuta hadi anashindwa magoli marahisi sana, binafsi ni fan wake sana lakini ananiangusha. Ozil ndio basi tena umri na strength za ligi vinamshinda wakati nadhani Pepe ligi itamshinda na atarudi zake Legue One.
 
Back
Top Bottom