Zayech tayari naskia amemalizana na wapinzani wetu wa chelsea na fungu juu MSIMU ujao ni lazima tuondoe baadhi ya wachezaji wasiokuwa na jipya kama Ozil willock ila kwa Laca naweza kumpa last chance next seasonArsenal summer transfer targets (defenders):
Layvin Kurzawa (PSG)
Gabriel Magalhaes (Lille)
Dayot Upamecano (RB Leipzig)
Joe Rodon (Swansea)
Nathan Ake (Bournemouth)
[Mail]
Yule kijana wa Brentford bwana Said Benrahma Arabian Messi anatufaa sana....sijui kwanini hawamuoniArsenal summer transfer targets (defenders):
Layvin Kurzawa (PSG)
Gabriel Magalhaes (Lille)
Dayot Upamecano (RB Leipzig)
Joe Rodon (Swansea)
Nathan Ake (Bournemouth)
[Mail]
Lacazette tangu aje Arsenal hajawahi fikia hata nusu ya kiwango alichokuwa nacho Lyon......soka la England limemkataa,huyu angerudishwa League1Zayech tayari naskia amemalizana na wapinzani wetu wa chelsea na fungu juu MSIMU ujao ni lazima tuondoe baadhi ya wachezaji wasiokuwa na jipya kama Ozil willock ila kwa Laca naweza kumpa last chance next season
Sent using Jamii Forums mobile app
Nop mpe muda... Ozil ndiye wakuuzwa kwa sasa.Lacazette tangu aje Arsenal hajawahi fikia hata nusu ya kiwango alichokuwa nacho Lyon......soka la England limemkataa,huyu angerudishwa League1
Sent using Jamii Forums mobile app
Laca lazima atauzwa summer , EPL imemshinda labda abadilike kipind kilichobaki hikiLacazette tangu aje Arsenal hajawahi fikia hata nusu ya kiwango alichokuwa nacho Lyon......soka la England limemkataa,huyu angerudishwa League1
Sent using Jamii Forums mobile app
I smell Milangomitatu.🤔🤔🤔🤔Zayech tayari naskia amemalizana na wapinzani wetu wa chelsea na fungu juu MSIMU ujao ni lazima tuondoe baadhi ya wachezaji wasiokuwa na jipya kama Ozil willock ila kwa Laca naweza kumpa last chance next season
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo alikuwa anatutukana. I smell something familia 😏😏😏Mkuu haya mambo ndo maana milango mitatu alikuwa anatutukana hao washawah kwenda USA MALAYSIA sehemu kibao ila wakirudi mambo ni yale yale huyo Ozil hata aongee nini kwa sasa anatakiwa awe China huko anacheza mpira yaani hii timu inahitaji mabadiliko makubwa sana huko Dubai wameenda kutalii tu hawa sioni kama kuna jipya litabadilika chini ya wachezaji hawa hawa na pia usisahau tuna game na olympiacos away next week Alhamisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha daahh mkuu uko fasta sana na ukiangalia ID yenyewe amejoin juzi tuSiyo alikuwa anatutukana. I smell something familia![]()



Mkuu nimemfatilia kiaina naona anaanza mdogo mdogo. Ameacha kumponda pepe ameamia kwa Ozil.Hahaha daahh mkuu uko fasta sana na ukiangalia ID yenyewe amejoin juzi tu![]()
Hahaha daahh imebidi niangalie last activity ya 3doors na joining ya uyu mdau vinaendana sana jamaa yupo jukwaani kitambo anacheza Kama peleMkuu nimemfatilia kiaina naona anaanza mdogo mdogo. Ameacha kumponda pepe ameamia kwa Ozil.


Jamaa ni genius 😂😂😂😂Hahaha daahh imebidi niangalie last activity ya 3doors na joining ya uyu mdau vinaendana sana jamaa yupo jukwaani kitambo anacheza Kama pele![]()
Akiamka atakuwa mbogo kweli kweli.Yaah ni kweli mdau yuko njema
![]()
Jamaa kina Aroon, Dully hawajamstukia bado.Yaah ni kweli mdau yuko njema
![]()
Macho yako yanaona kama mimi????!!!! In mpenja's voiceI smell Milangomitatu.![]()