DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Kwann Cash money ?
Muoneni huyu jamaa gia aliyoingia nayo hapa baada ya kimya kirefu.
Sent using Cash Money Wings
Kwa kweli timu inazingua sana, tumejitahidi kiasi fulani haturuhusu magoli, lakini tatizo lipo kwenye ufungaji sasa. Lacca amekuwa shida sana, Ozil ndio kabisa hali imekuwa mbaya, Auba ndio scorer wetu kwa sasa.Exclusive: Arteta could axe Lacazette, Aubameyang and Ozil as unimpressed boss plans major Arsenal shake-up. [Mark Irwin]
Tunahitaji watu wapyaKwa kweli timu inazingua sana, tumejitahidi kiasi fulani haturuhusu magoli, lakini tatizo lipo kwenye ufungaji sasa. Lacca amekuwa shida sana, Ozil ndio kabisa hali imekuwa mbaya, Auba ndio scorer wetu kwa sasa.
Major reshuffle is needed tena kwa nguvu zote.
Hawa wanauzwa summer na wasioingeza mikataba wote ,ili ipatikane hela itakayoongezwa hadi kufikia £150m -200m
Inasemekana walipata ofa toka uarabuni katika deadline ya dirisha la january na body ikagoma kuuza Ozil.Hawa wanauzwa summer na wasioingeza mikataba wote ,ili ipatikane hela itakayoongezwa hadi kufikia £150m -200m
Arteta amaesema Atakijenga upya kikosi ,na usajiri utafanyika mapema .
Mikel Arteta's side are prioritising a box-to-box midfielder, a central defender and a creative central midfielder. And work has already started behind the scenes on trying to strike early deals for their targets. [@SamiMokbel81_DM]
Waje tu maana Arsenal wamesema hawapokei chini ya 50m£Auba anaenda Barcelona tafuteni mbadala.
Sent using Cash Money Wings
Kwa habari za tetesi tu tupo vizuri, hao "good ones" walitakiwa waje mapema kabla dirisha halijafungwa.@Kike_Marin_ claims Arsenal have 2 signings already done. Hints that they are very good ones.
Yaani watu kama..Kwa habari za tetesi tu tupo vizuri, hao "good ones" walitakiwa waje mapema kabla dirisha halijafungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app