Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Teh.. Wewe Pumbaaav kama ingekua rahisi hata wachovu nyie mngeingia lakini mpaka leo mnahangaika.

Dully hasira zote hizo ni timu uliyoamua kuishabikia hata siklaumu. Maisha yamekupiga plus ubovu wa timu yako ndio unaniangushia mimi hasira zako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaona pumbav ni neno zuri basi

BABA YAKO PUMBAV + MAMA YAKO PUMBAV = WEWE KATOTO KAPUMBAVU ....

maana umetotolewa kutoka kutoka kwa wapumbav.

Shubamitt...
Unavyokuja ndio unavyopokewa kengewewe...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta makubwa zaidi. Kama ni baba au mama kila mtu anaye sasa jua haya bado hayanichomi. Changamsha akili kijana ji update kila siku haya haya unakua out of date with your little sized mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha aiseeeeehhhh unazidi kudhihirishia umma kiwango cha ufinyu wa fikra na utajiri wa upoyoyo na upumbavu uliokujaa ukicompare na washabiki wa chelsea,
Shukuru hii platform inakupa jeuri ya kuandika rundo la upuuzi pasi na kipingamizi ila tungekuwa tunaurgue face to face hata vibao vingekuhusu mdogo wangu....1

Maana unatema pumba sio za hii nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta makubwa zaidi. Kama ni baba au mama kila mtu anaye sasa jua haya bado hayanichomi. Changamsha akili kijana ji update kila siku haya haya unakua out of date with your little sized mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha
Hapa ni soka ila ukileta vitu nje ya soka pia unashughulikiwa tu,wewe si unajitoa akili.....
Unavyokuja ndivyo unavyopokelewa mzee,usitarajie uje kwa singeli alafu tukupokee kwa RnB hilo sahau mdogo wangu.
Na hii ndio njia nzuri ya kuishi na jamii inayokuzunguka maana watu hatufanani....
Tafuta sehemu niliyomjibu visivyo mtu kama Cash Money Forever licha ya kwamba anakuja hapa anatunanga ,kejeli na ushauri sometimes...tatizo wenzio wale wamelelewa vizuri na wazazi wao,wanajua namna ya kuishi na watu.......

Karibu Gunners.
Kings of London.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Duh, yaani washabiki wa hizi timu siku hizi mna hasira sana.

Sisi wengine inabidi tunapita kimya kimya, hamchelewo kusema tunawakejeli.
 
We Pumbavu unajitetea mno. Na mimi nakuambiaje nenda kwenye bio yangu angalia kama kuna mtu nilimjibu ovyo. Narudia tena your little sized mind ndio tatizo lako. Unaumia kuitwa PUMBAV hapo changanya na stress za maisha ukaona ushushe mzigo kwangu.

Punguani wahed wewe, kimaandishi tu unaonekana hohe hohe pangu pakavu tia mchuzi halafu unashabikia Arsenal. Nakuhurumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh, yaani washabiki wa hizi timu siku hizi mna hasira sana.

Sisi wengine inabidi tunapita kimya kimya, hamchelewo kusema tunawakejeli.
Hapana brother,mbona unaweza kukejeli tu kiroho safi,....tatizo LUGHA.....

kuna mtu anayekejeli hapa kama ARV ????

lakini lini ametolewa lugha chafu???aje mwenyewe hapa aseme,wewe mwenyewe shahidi ,kule jukwaa la mabingwa wapya wa ligi kuu mimi nimekejeli mara ngapi????lakini ilifikia hatua nikamtolea mtu lugha mbovu????kejeli,utani n.k ndivyo vitu vinavyofanya haya majukwaa yanachangamka mzee,lakini kwakuwa humu hatujuani ziwe zinatumika lugha za staha ili tusivunjiane heshima.....

Mbona kuna maneno mengi yaliyorasimishwa yanayokera...arse8,loserfools,chelwowowo,nyumbu n.k lakini unapokuja kuita watu wapumbavu aiseeeeeehhh sio vema mzee...

Kuwa huru kukejeli ila kumbuka kejeli sio matusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndio umefunga mjadala. Tatizo Sisi wajuaji sana mkuu
 

Wewe huna akili......hivi hohe hahe unamjua kwa maandishi?

Tatizo ni wazazi wako hawajakulea katika misingi mizuri,sasa na haya ndio matokeo yake....

WEWE NI ZAO LA WAPUMBAVU,NI LAZIMA URITHI UPUMBAVU NA CHA KURITHI HUWAGA KINAZIDI ASILI.

POLE IN ADVANCE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuelewa sana mkuu.....kama akikuelewa hapo atakuwa ameongeza kitu katika maisha yake.......

Tuendelee na utaratibu wetu,soka sio vita.

Enjoy soccer .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nimekuelewa bosi.

Halafu naona nikukumbushe kwamba points zenu hazifikii nusu ya points za mabingwa.
 
Kaka umeleweka. Mimi sina shida na mtu. Nina imani wewe DullyJr umeelewa hili.? Naomba nikiri nimeacha kukuita Mpumbavu. Ila na wewe uwe unafikiri kwa mapana toka lini nishawahi toa kauli ikawa bugdha kwako. Kilichotokea ni mimi kupitiwa na ungetumia coment ya kwanza kuniambia hujapendezwa na nano fulani. Sasa umeshafumbua watu wewe ni mtu wa aina gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa comments hizi nadhani wote mnaconfess kukoseana heshima kwa kiwango fulani,niwasihi basi muombane radhi maisha yaendelee.

Ninachoamini hakuna kati yenu aliyekuwa na lengo la kumu-abuse mwenzie in the first place lakini with heated debates, sometimes we find ourselves beyond control and to me that's normal linapokuja suala la ushabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani mkuu,tupo pamoja sana.....


Karibu sana kwa WAFALME WA LONDON.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhahiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…