Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Its time for Arsenal to clarify their statement of intent.
 
We can win this Game....Chelsea hawana Sub nzuri........Just look at this Subs: Turnbull, Ramires, Bosingwa, Van Aanholt, Bruma, Kakuta, McEachran.
 
Clichy sasa asipokuwa makini atakuwa anafungwa tera kila wakti. Samir Nasri leo ana uhai na ngome ya Djourou na Koscielny inaonesha imetulia.
 
AW nakuaminia mkuu... mapenzi yako kwa asenali ni balaa

Questt... kweli wewe ni member wa kudumu wa hii sredi

Kila la kheri mpate droo
 
Clichy angeweza kutoa pasi kwa Van Persie lakini anajaribu na mguu wa kulia tangu lini alifanya hivyo?
 
AW nakuaminia mkuu... mapenzi yako kwa asenali ni balaa

Questt... kweli wewe ni member wa kudumu wa hii sredi

Kila la kheri mpate droo

Acid Conclusion yako ndiyo FAMBA kaka....Inamaana Hutaki Tushinde???? 4 UR INFO HII GAME TUNASHINDA NO MATTER WHAT IT TAKES.....Ni kama CCM kwenye Chaguzi za Bongo....Sijui tutachakachua vipi ila Am sure TUTASHINDA......
 
Kama mnazi wa man utd naomba mto draw tu... Ila hawa chelsea wamejichokea arsenal mkitulia mnawapa kichapo.
 
Malouda anajaribu kubadilisha nafasi mara kulia mara kushoto.
 
That was SUPERB, FANTASTIC, EXCELLENT head Intercept from Djourou......NICE...
 
Back
Top Bottom