Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Ebu hizi dakika za mwisho tujaribu mashuti ya mbali kidogo manake naona tunatafuta upenyo haupatikani.
Tulia mkuu u-enjoy game lol.
Ww shabiki wa ukweli wa ArseNOOls, sio wale wenzako huwa wanakimbia kwenye head to head challenge kama hizi.
Leo natamani msifungane nyie wahuni.
So far kwenye hii 1st Half.....Man of the Match is Petr Cech....Nani anabisha???????
Acid Conclusion yako ndiyo FAMBA kaka....Inamaana Hutaki Tushinde???? 4 UR INFO HII GAME TUNASHINDA NO MATTER WHAT IT TAKES.....Ni kama CCM kwenye Chaguzi za Bongo....Sijui tutachakachua vipi ila Am sure TUTASHINDA......
It is the time to shake-off hii tabia ya kuidharau na kuibeza Arsenal.
It is the time to shake-off hii tabia ya kuidharau na kuibeza Arsenal.
Mkuu tatizo kulinda uongozi ,inabidi tujitahidi sana tulinde goli na kuongeza .