Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
SanaGuendouzi leo kacheza vizuri
SanaGuendouzi leo kacheza vizuri
SuperbLeo Mustafi amenikumbusha kipindi kile anakuja msimu wake wa kwanza....
Excellent Perfomance
Sent using Jamii Forums mobile app
naona confidence ya Mustafi imeanza kurudi chini ya Arteta. Anacheza vizuri japo ana makosa yale ya kijinga.Leo Mustafi amenikumbusha kipindi kile anakuja msimu wake wa kwanza....
Excellent Perfomance
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa dakika alizocheza ,kaonesha uwezo sanaTumeshinda muhimu ushindi.... Japo sijafanikiwa kupata muda wa kumcheki ceballos.
Hizi sababu zetu ni za kijinga sana.SABABU WALIZOTOA NI HIZI HAPA
The Athletic: Pablo Mari has returned to Brazil - planned as per normal procedure. However, Arsenal want loan with an option to buy for 2 reasons:
1. Saving cash - Club planning to have a big summer and back Arteta
2. There is already a congestion of centre backs at the club
Jamani hebu tuacheni kutetea vitu vyeupe kama hiviHawajafanya uhuni!.. Pengine wamegundua madhaifu ya mchezaji na hivyo wamebadili gia angani!.. Kumbuka Arsenal wanataka loan deals.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndio ukweli. Hebu 1 na iwe 1Tuache kujifariji mkuu, deal linaelekea kukwama kutokana na timu kutaka vya bure. Tusipindishe ukweli, ubahili kwenye zama hizi haupo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hao wachezaji wako wa kingereza hakuna kitu kuanzia Willock, Holding, AM na huyo Nketiah uliyekua una msifia.Matteo man of the match
Cheza vzur sana kwa Leo for me
Willock nayemjua kipind cha pili nmemuona
Napingana na wewe mkuu!Mkuu hao wachezaji wako wa kingereza hakuna kitu kuanzia Willock, Holding, AM na huyo Nketiah uliyekua una msifia.
Ukweli ni kuwa media zinawakuza ila uwezo hawana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna watu humu wamefunga macho na kuziba masikio hawataki kuona wala kusikia ukweli ukiongelewa.Huu ndio ukweli. Hebu 1 na iwe 1